Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI NDIYO HII NENO LA LEO


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGAYA KIMATAIFA BAADA YA MICHEZO YA LEO HII NDIYO HABARI MUJINI

Mtokea ya michezo ya leo ya ligi ya VPL na Kimataifa kwa timu ya wanawake Twiga Stars aka vitaulo.Timu ya simba imefikisha point 32 baada ya kushinda mechi yake ya Leo.Simba imeshinda goli 3-0 dhid ya Ruvu shooting...Magoli ya Simba yamefungwa na. Ibrahim Ajib dk ya 60 kwa penati, HawadhJuma, dk ya 61 na goli la 3 na elias Maguli dk ya 75.
COASTAL UNION YAPIGWA NA AZAMTimu ya Azam imeshinda 1_0 dhidi ya coastal union katika Uwanja waMkwakwani,Tanga.Goli la Azam FC lilifungwa na John boko...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII HUKO CHINA



Kijàna wa kichina amekamatwa akijaribu kuvusha cm latest zaidi ya 90 iPhone 6 Alizibandika mwilini mwake. Walimgundua alikua anashindwa kutembea vizuriAmekamatiwa Futian port Imigration point btwn China and Hongkong.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAMKE ATTITUDE HABARI NDIYO HII

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. 
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni moja...

 

9 years ago

Vijimambo

MBELE YA MAGEZETI HII NDIYO HABARI YENYEWE


Jitiririshe........zaid hapa chini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani