HII NDIYO YANGA YANYAKUWA UBIGWA MARA YA 24
![](http://3.bp.blogspot.com/-8gAylGNOAXg/VT5F7XdoHRI/AAAAAAABYC0/gt5d6pj1ASk/s72-c/4.jpg)
Shabiki wa Yanga akifurahia UBIGWA baada ya kuibwaga polisi Moro bao 4 kwa 1.Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada yaTabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na FrancisDande)
Mashabikiwa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
MshambuliajiWa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezowa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Feb
HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-2ske2H6ibPs%2FVOZJSSyXGaI%2FAAAAAAADZ5A%2FMwgawl1uLNs%2Fs1600%2F1.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-nuzUTtxZEhY%2FVOZJSfqWZaI%2FAAAAAAADZ5E%2F3S76cANil-0%2Fs1600%2F6.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/m0f9feIrgik/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lyH8li5tDqs/default.jpg)
TP Mazembe yanyakuwa ubingwa wa Afrika kwa mara ya tano
Wafanyabiashara mkoani arusha wakumbushwa kuzingatia usafi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu; https://youtu.be/cyySdQKD4T0Wachimba wadogo wadogo mkoani kagera waitaka serikali kuangalia upya sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ambayo ni ki kikwazo kwao; https://youtu.be/kleNi6hYUiUHofu ya uchaguzi mkuu nchini Imetajwa kusababisha kupungua kuja kwa watalii wa nje...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Njovu hii ndiyo Yanga ya ahadi kebekebe
9 years ago
Vijimambo22 Oct
HII NDIYO YANGA SC INA KIKOSI BORA ‘KILICHOSHIBA’
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Vicent-Bosou.png)
Mlinzi wa kati wa Yanga Vicent Bosou ambaye amecheza kwa dakika zote 90 kwa mara ya kwanza wakati Yanga ikicheza dhidi ya Toto Africans
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam
Licha ya wachezaji wake kuendelea kuendelea kukosa kujiamini wapatapo ‘mkwaju wa penati’, washambuaji wa Yanga SC ameendelea kufunga magoli ya kutosha na kujikita katika kilele cha msimamo. Mlinzi wa kulia, Juma Abdul alifunga goli ‘maridadi’ la mkwaju wa mita zisizopungua 23 mapema dakika ya 9’ wakati Yanga ikicheza na...
9 years ago
Vijimambo01 Oct
KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Simba-vs-Yanga-1.jpg)
Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wazidi kuwa watamu uwanjani.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Ot-zTVQwYNM/VRd4kgTsLiI/AAAAAAADd58/uk-P3sNRuTs/s72-c/49ab84e66ca4c1f3da558e1faa066a1d.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bc8y1SjMhcQ/VVEc4KEJFvI/AAAAAAADmtA/skPA_-iEQ3Y/s72-c/11255786_10206667190668321_4069840413929546228_n.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aZf3InMwKow/VI8tm514dNI/AAAAAAAArNc/LpTM7MX-0TI/s72-c/a.espncdn.jpg)