Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIRI YA MAPENZI YAO IKO MOYONI MWAO

Mwandishi Wetu
Mastaa wengi wamekuwa wakiingia kwenye uhusiano na kufanya siri kubwa. Wapo ambao wanaonekana dhahiri ni wapenzi kutokana na ukaribu wao lakini wakiulizwa wanadai wana ‘project’.Ukiuliza ni project gani utaambiwa wana filamu wanacheza. Cha ajabu sasa unaweza kusubiria hiyo filamu na usiione. Mwisho wa siku unajiongeza na kubaini baadhi wanatumia kivuli cha ‘project’ kuendesha penzi lao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALBINO WASISITIZA UMOJA MIONGONI MWAO KWA FAIDA YAO

Mwenyekiti wa THK, Said Ndonge, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Makamu Mwenyekiti wa THK, Adelina Mhege,  akisisitiza jambo katika hafla hiyo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Kalenga yabaki siri moyoni mwa wapigakura

Kalenga. Zikiwa zimesalia siku sita wananchi wa Kalenga kumchagua mwakilishi wao bungeni, siri nzito ipo mioyoni mwao kuhusu nani ataibuka kidedea.

 

9 years ago

Bongo Movies

Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..

jb“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...

 

11 years ago

GPL

PENNY: MAPENZI YA SIRI SIYAWEZI

Stori: Imelda Mtema PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri. Prezenta wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ katika pozi. Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

WIVU WA MAPENZI: Mke amkata mume sehemu za siri

>Mkazi wa Kijiji cha Majimaji, Kata ya Chalinze, wilayani Tunduru (jina linahifadhiwa), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri mume wake.

 

10 years ago

GPL

ANAKUPENDA, UNAMPENDA KWA NINI MAPENZI YENU YAWE YA SIRI?

Uhali gani mpenzi msomaji wangu! Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu uko poa na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.Bila shaka msomaji wangu utakuwa unaelewa vizuri nikizungumzia mapenzi ya siri. Inawezekana umewahi kuwa katika aina hii ya uhusiano, umewahi kusikia au kushuhudia watu wawili wanaopendana, wakiendesha uhusiano wao kwa siri kubwa. Je, kwa nini kuna baadhi ya watu hupenda kuishi kwenye...

 

10 years ago

GPL

ANAKUPENDA, UNAMPENDA, KWA NINI MAPENZI YENU YAWE YA SIRI?- 2

Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu, msomaji wangu umesherehekea vyema sikukuu ya Krismasi na leo unamalizia na Boxing Day, tuzidi kumuomba Mungu atuvushe salama kuingia mwaka mpya wa 2015. Karibu tena kwenye uwanja wetu huu mzuri, Lets Talk About Love! Tuzungumzie mapenzi na kubadilisha mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada yetu kama...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi

Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani