Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALBINO WASISITIZA UMOJA MIONGONI MWAO KWA FAIDA YAO

Mwenyekiti wa THK, Said Ndonge, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Makamu Mwenyekiti wa THK, Adelina Mhege,  akisisitiza jambo katika hafla hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

OPERESHANI MAALUMU YA POLISI MORO KUEKELEA SIKUKUU YA X-MAS YABAMBA 23 MIONGONI MWAO RAIA WAKIGENI.

Na John Nditi, Morogoro POLISI mkoani Morogoro imewatia mbaroni watu 23 kati ya hao wawili wakiwa ni wahamiaji haramu raia wa kutoka nchini Ethiopia walioingia nchini bila kuwa na kibari wala pasi za kusafiria wakiwa njiani kuekelea Afrika Kusini. Raia hao walikamatwa wakiwa Mikumi, wilayani Kilosa.  Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema hayo Desemba 28, mwaka huu (2015) wakati akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu matukio mbalimbali yaliyotokea kuanzia Desemba...

 

10 years ago

GPL

SIRI YA MAPENZI YAO IKO MOYONI MWAO

Mwandishi Wetu
Mastaa wengi wamekuwa wakiingia kwenye uhusiano na kufanya siri kubwa. Wapo ambao wanaonekana dhahiri ni wapenzi kutokana na ukaribu wao lakini wakiulizwa wanadai wana ‘project’.Ukiuliza ni project gani utaambiwa wana filamu wanacheza. Cha ajabu sasa unaweza kusubiria hiyo filamu na usiione. Mwisho wa siku unajiongeza na kubaini baadhi wanatumia kivuli cha ‘project’ kuendesha penzi lao...

 

11 years ago

Mwananchi

Masheikh wasisitiza umoja, amani

Viongozi mbalimbali wa siasa na Kiislamu nchini, wamehimiza amani, umoja, mshikamano wa Watanzania ili kuliepusha taifa na balaa la kupoteza amani.

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea urais wanne wasisitiza amani, umoja

WAGOMBEA wanne wa urais wamesisitiza amani na umoja wa Tanzania, huku wakielezea kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa chanzo cha kuibuka kwa viashiria vya ubaguzi wa kidini, ukanda na ukabila.

 

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII

DSC_0017 Pichani ni  Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.

Shirika la Ufaransa la Alliance Francaise de Dar es Salaam liliandaa safari ya maonyesho iliyopewa jina “women in Resistance by the talented French photo-journalist...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya awamu ya nne yafanikiwa kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi

1

Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya serikali ya nne ikiwamo kujenga umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi.

2

Mkurugenzi wa Muungano, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw....

 

11 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII‏

Picha juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Faida umoja wa forodha, soko la pamoja EAC bado ndoto

UTAFITI uliofanywa na Shirika la Muungano wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (Tango), umebaini kuwa asasi za kiraia, wakulima na wafanyabiashara wadogo katika Umoja wa Afrika Mashariki (EAC), unaonyesha kuwa upatikanaji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao

KATIBU

Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.

Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani