Faida umoja wa forodha, soko la pamoja EAC bado ndoto
UTAFITI uliofanywa na Shirika la Muungano wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (Tango), umebaini kuwa asasi za kiraia, wakulima na wafanyabiashara wadogo katika Umoja wa Afrika Mashariki (EAC), unaonyesha kuwa upatikanaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Soko la pamoja EAC ni zuri, lakini...
Matumaini ya kujikomboa kiuchumi kupitia ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki, yanaweza kufanikiwa kwa kiwango kikubwa endapo juhudi zinazoendelea zitafanywa kwa uangalifu katika hali ambayo itasaidia kila nchi mwanachama kunufaika.
10 years ago
Michuzi
Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)
Na Hassan Silayo-MAELEZO Mawakala wa Forodha nchini wameaswa kujisajili katika mfumo wa uondoshaji mizigo wa Himaya moja ya Forodha ya Afrika Mashariki (Single Custom Territory) utakao anza kutumika hivi Karibuni. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi wakati mkutano na Viongozi na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFA) Bw. Kabisi alisema kuwa mawakala wa forodha nchini hawana budi kufanya hivyo ili kuwezesha uondoshwaji wa...
10 years ago
Vijimambo24 Jun
MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )

5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU: HAJARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA YA FORODHA

“Jengo hili kuta tayari zimeshaanza kuvimba, kwa nini majengo ya TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) yanajengwa kwa kiwango cha chini na kwa nini mmeruhusu majengo haya yatumike,” amehoji Waziri Mkuu.
Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu amemtaka Afisa Miliki wa TRA, Bw. Haruna...
11 years ago
MichuziTANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA
Na Ally Kondo, Lilongwe
Nchi za Afrika zimehimizwa kufanya biashara baina yao ili kujiletea maendeleo, badala ya kusubiri misaada isiyokuwa na uhakika kutoka nchi wahisani. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji na Ushuru wa Forodha cha Songwe - Kasumulu kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi.
Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi leo Jumatatu tarehe 10 Machi,...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Faida za soko la kukuza ujasiriamali na kampuni
KUNA faida nyingi zitakazopatikana kwa kutumia fursa ya kuanzishwa Soko la Kukuza Kampuni na Ujasiriamali (EGM) katika Soko la Hisa la Dar es Salaam. Ili kujiunga na soko hilo, kuna masharti...
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Soko la hisa la Japan limepata faida kubwa
Soko hilo limesema kuwa faida hiyo imepanda kwa kiwango cha asilimia saba nukta saba
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Zitto: Bado nina ndoto ya urais
Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania