Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )

1 Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi akiongea na viongozi wa Chama cha Mawakala wa Forodha na kuwataka mawakala wa Tanzania kujisajili katika mfumo wa uondoshaji wa Himaya moja ya Forodha(SINGLE CUSTUM TERRITORY) ili kuwezesha uondoshwa wa mizigo kwa haraka zaidi pindi mfumo huo utakapoanza kutumika kwani mifumo huo na watanzania tayari zinawasiliana mpaka sasa, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam Kushoto ni Naibu Kamishna wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)

Na Hassan Silayo-MAELEZO Mawakala wa Forodha nchini wameaswa kujisajili katika mfumo wa uondoshaji mizigo wa Himaya moja ya Forodha ya Afrika Mashariki (Single Custom Territory) utakao anza kutumika hivi Karibuni. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi wakati mkutano na Viongozi na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFA) Bw. Kabisi alisema kuwa mawakala wa forodha nchini hawana budi kufanya hivyo ili kuwezesha uondoshwaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mfumo himaya moja ya Forodha warahisisha utendaji bandarini

MFUMO wa Himaya moja ya Forodha kwa nchi za Afrika Mashariki umeongeza shehena ya mizigo kutoka nchi jirani inayopitishwa katika bandari ya Dar es Salaam, na kuwezesha muda wa kusafirisha bidhaa na kuzifikisha katika nchi husika kupungua kutoka siku saba hadi siku mbili.

 

10 years ago

Michuzi

TRA YATOA SEMINA YA HIMAYA MOJA YA FORODHA KWA TUME YA MIPANGO

Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na Mkuu wa Kongane ya Biashara ya Kimataifa na Ushirikiano wa Kiuchumi, Bw. Paul Sangawe (Kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Himaya Moja ya Forodha (Single Customs Territory).Mtaalamu wa Masuala ya Forodha kutoka TRA, Bw. Stambuli Myovela (Kulia) akizungumza wakati wa Semina ya Himaya Moja ya Forodha (Single Customs Territory) kwa watumishi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Habarileo

Mawakala wa Forodha nchini watishia kugoma

CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetishia kugoma baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzitaka kampuni hizo kuwa na Sh milioni 100 kama inataka kupata leseni ya uwakala.

 

9 years ago

GPL

WANACHAMA WA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA TANZANIA WAJIUNGA NA PSPF

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAFA kwenye ukumbi wa Karimjee .
Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin, akiwaeleza wanachama wa Chama cha mawakala wa forodha Tanzania TAFA, juu ya hufuma mbalimbali zitolewazo na...

 

10 years ago

StarTV

Idara ya Forodha yakabiliwa na ukosefu wa mizani.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Idara ya Forodha na Ushuru katika mpaka wa Tanzania na Malawi uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mizani kwa ajili ya kupimia mizigo inayovushwa katika mpaka huo.

 

Kutokana na tatizo hilo baadhi ya mizigo inayovushwa mpakani hapo haitozwi ushuru halisi kulingana na uzito iliyonayo na hivyo kuitia serikali hasara kwa kukusanya mapato madogo.

 

Katika mpaka wa Tanzania na Malawi ambao unajulikana kwa jina la Kasumulu, mpaka huu una...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Nkurunzinza awaonya maofisa forodha

Muyungi, Burundi. Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza amewaonya maofisa wa vituo vya pamoja vya ukaguzi na forodha waliopo katika mpaka wa Kobero na Kabanga kuachana na vitendo vya rushwa na upitishaji bidhaa haramu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kandoro aagiza wafanyakazi wa Forodha watiwe mbaroni

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ameiagiza polisi kuwakamata wafanyakazi wote  Idara ya Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika mpaka  Tanzania na Zambia wa Tunduma ili waisaidie polisi katika uchunguzi wa magogo 1,301 yaliyokamatwa kwa kukwepa kulipa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SMZ yazuia kushusha mizigo Forodha Mchanga

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeamua eneo la Forodha Mchanga lisitumike kwa kushusha au kupakia mizigo kwa sababu za kiusalama. Naibu Waziri wa Wizara ya  Miundombinu na Mawasiliano, Issa Haji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani