Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yazuia kushusha mizigo Forodha Mchanga

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeamua eneo la Forodha Mchanga lisitumike kwa kushusha au kupakia mizigo kwa sababu za kiusalama. Naibu Waziri wa Wizara ya  Miundombinu na Mawasiliano, Issa Haji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwakilishi kuanza kutaja mawaziri mizigo wa SMZ

Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia kutokana na kile alichodai vinaongeza gharama na badala yake wazidishe ulinzi katika Viwanja vya ndege na Bandari.

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )

1 Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi akiongea na viongozi wa Chama cha Mawakala wa Forodha na kuwataka mawakala wa Tanzania kujisajili katika mfumo wa uondoshaji wa Himaya moja ya Forodha(SINGLE CUSTUM TERRITORY) ili kuwezesha uondoshwa wa mizigo kwa haraka zaidi pindi mfumo huo utakapoanza kutumika kwani mifumo huo na watanzania tayari zinawasiliana mpaka sasa, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam Kushoto ni Naibu Kamishna wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)

Na Hassan Silayo-MAELEZO Mawakala wa Forodha nchini wameaswa kujisajili katika mfumo wa uondoshaji mizigo wa Himaya moja ya Forodha ya Afrika Mashariki (Single Custom Territory) utakao anza kutumika hivi Karibuni. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi wakati mkutano na Viongozi na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFA) Bw. Kabisi alisema kuwa mawakala wa forodha nchini hawana budi kufanya hivyo ili kuwezesha uondoshwaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

TUMA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA BAHARI AMBAYO NI NAFUU KWA UZITO WOWOTE ULE, CONTAINER LETU LINAONDOKA MWISHO MWA FEBRUARY.KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KWA CONTACT HIZO HAPO JUU

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Nkurunzinza awaonya maofisa forodha

Muyungi, Burundi. Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza amewaonya maofisa wa vituo vya pamoja vya ukaguzi na forodha waliopo katika mpaka wa Kobero na Kabanga kuachana na vitendo vya rushwa na upitishaji bidhaa haramu.

 

10 years ago

Habarileo

Mawakala wa Forodha nchini watishia kugoma

CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetishia kugoma baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzitaka kampuni hizo kuwa na Sh milioni 100 kama inataka kupata leseni ya uwakala.

 

10 years ago

StarTV

Idara ya Forodha yakabiliwa na ukosefu wa mizani.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Idara ya Forodha na Ushuru katika mpaka wa Tanzania na Malawi uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mizani kwa ajili ya kupimia mizigo inayovushwa katika mpaka huo.

 

Kutokana na tatizo hilo baadhi ya mizigo inayovushwa mpakani hapo haitozwi ushuru halisi kulingana na uzito iliyonayo na hivyo kuitia serikali hasara kwa kukusanya mapato madogo.

 

Katika mpaka wa Tanzania na Malawi ambao unajulikana kwa jina la Kasumulu, mpaka huu una...

 

9 years ago

Mwananchi

Kandoro aagiza wafanyakazi wa Forodha watiwe mbaroni

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ameiagiza polisi kuwakamata wafanyakazi wote  Idara ya Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika mpaka  Tanzania na Zambia wa Tunduma ili waisaidie polisi katika uchunguzi wa magogo 1,301 yaliyokamatwa kwa kukwepa kulipa kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Mfumo himaya moja ya Forodha warahisisha utendaji bandarini

MFUMO wa Himaya moja ya Forodha kwa nchi za Afrika Mashariki umeongeza shehena ya mizigo kutoka nchi jirani inayopitishwa katika bandari ya Dar es Salaam, na kuwezesha muda wa kusafirisha bidhaa na kuzifikisha katika nchi husika kupungua kutoka siku saba hadi siku mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani