Mwakilishi kuanza kutaja mawaziri mizigo wa SMZ
Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia kutokana na kile alichodai vinaongeza gharama na badala yake wazidishe ulinzi katika Viwanja vya ndege na Bandari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 May
SMZ yazuia kushusha mizigo Forodha Mchanga
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeamua eneo la Forodha Mchanga lisitumike kwa kushusha au kupakia mizigo kwa sababu za kiusalama. Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, Issa Haji...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Mawaziri SMZ waumbuliwa
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0n7Hrjai02swGIDz*Fk6WdsDDd9a1GXYZsD1YLavc3d1oFhkym9UJhFYmcJjYLUQ9IiMPO7-tReXJLtgUaG1e-5/kinana.jpg?width=650)
MAWAZIRI MIZIGO ISICHUKULIWE KISIASA
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi
KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...
11 years ago
GPLMAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAJIPANGA
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Walia Rais kuwaacha mawaziri ‘mizigo’
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe