Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri SMZ waumbuliwa

>Kamati  ya Uchunguzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) imeamua mwekezaji Ali Muradi arejeshewe eneo la ardhi baada ya kufutwa hati yake Namba Z.1629 kinyume cha sheria na aliyekuwa  Waziri Dhamana wa Ardhi, Zanzibar, Ali Juma Shamhuna, imefahamika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwakilishi kuanza kutaja mawaziri mizigo wa SMZ

Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia kutokana na kile alichodai vinaongeza gharama na badala yake wazidishe ulinzi katika Viwanja vya ndege na Bandari.

 

11 years ago

GPL

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa… ...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yaikubali Rasimu mpya

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeelezea kuridhika na sehemu kubwa ya Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, kutokana na kuweka sawa mambo yenye maslahi kwa Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo jana alipokuwa akizungumzia hatua ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar, Othman Masoud Othman, kujitoa katika Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yajipanga kukabiliana na majanga

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwemo matukio ya ajali ya vyombo vya baharini kwa kutoa elimu kwa wananchi na makundi mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Raza: Naishangaa SMZ kutonishtaki

Mwenyekiti wa Kampuni ya huduma za viwanja vya ndege Zanzibar (ZAT) Mohamed Raza Dharamsi amesema ameshangazwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kumhusisha na kutolipa kodi ya gawio la Serikali kwa muda wa miaka 16 bila ya kumchukulia hatua za kisheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti SMZ kodi juu

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) jana iliwasilisha bajeti yake ya Sh708.8 bilioni kwa mwaka 2014/2015 ambazo ni pungufu mara 28 ya Bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Sh19.7 trilioni inayotarajiwa kuwasilishwa mwishoni mwa Juni mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani