SMZ yaikubali Rasimu mpya
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeelezea kuridhika na sehemu kubwa ya Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, kutokana na kuweka sawa mambo yenye maslahi kwa Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo jana alipokuwa akizungumzia hatua ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar, Othman Masoud Othman, kujitoa katika Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Rasimu ya Katiba inavyowagawa viongozi SMZ
9 years ago
Habarileo20 Sep
SMZ yapongezwa kununua meli mpya
CHAMA Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Dk Ali Mohamed Shein kwa kutekeleza ahadi zake kwa vitendo kwa kununua meli mpya ya abiria na mizigo kwa wananchi wa Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Sarungi: Sikubaliani na rasimu mpya
10 years ago
Habarileo19 Sep
Rasimu ya 3 Katiba mpya Jumatatu
RASIMU ya Tatu ya Katiba mpya, inatarajiwa kuwekwa hadharani Jumatatu ijayo, wakati Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, itakapokuwa ikiwasilisha rasimu hiyo kwa wajumbe wa bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika
11 years ago
BBCSwahili30 Dec
Rais akabidhiwa rasimu ya katiba mpya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu1IWUFYsyR5fwd1Tof9rtKXfyij-sWPoqQgVaLYssYz4b*mmY3zTzaBkCNF0dmPcyTB4KoPSQ-Ogb-DX54p9UbT/mastaa.jpg?width=650)
MASTAA WAIPONGEZA RASIMU YA KATIBA MPYA
10 years ago
Habarileo25 Sep
Rasimu ya Katiba mpya hii hapa
RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, imewekwa hadharani huku Muungano uliogeuka hoja kuu wakati wa mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba, ukibadilishwa na kuwa na baadhi ya sura mpya za kimuundo na kiutendaji, ambazo hazijawahi kupendekezwa katika historia ya Muungano.
10 years ago
Habarileo11 Sep
Rasimu ya Katiba mpya kupigiwa kura Sept. 21
WAKATI kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) likishinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe haraka iwezekanavyo, Bunge hilo limejiandaa kuwasilisha Katiba inayopendekezwa Septemba 21.