Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sarungi: Sikubaliani na rasimu mpya

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Maria Sarungi amepinga utaratibu wa kuwasilishwa tena bungeni mabadiliko ya Kanuni ambayo yataibua upya vurugu na hivyo vikao vya Bunge kuendelea kuahirishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SMZ yaikubali Rasimu mpya

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeelezea kuridhika na sehemu kubwa ya Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, kutokana na kuweka sawa mambo yenye maslahi kwa Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo jana alipokuwa akizungumzia hatua ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar, Othman Masoud Othman, kujitoa katika Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya 3 Katiba mpya Jumatatu

RASIMU ya Tatu ya Katiba mpya, inatarajiwa kuwekwa hadharani Jumatatu ijayo, wakati Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, itakapokuwa ikiwasilisha rasimu hiyo kwa wajumbe wa bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika

Hatimaye Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba imekamilisha kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza na kupata rasimu ya pili ya Katiba Mpya tayari kwa hatua nyingine.

 

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba mpya hii hapa

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, imewekwa hadharani huku Muungano uliogeuka hoja kuu wakati wa mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba, ukibadilishwa na kuwa na baadhi ya sura mpya za kimuundo na kiutendaji, ambazo hazijawahi kupendekezwa katika historia ya Muungano.

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAIPONGEZA RASIMU YA KATIBA MPYA

Stori: Deogratius Mongela
Wasanii mbalimbali wa filamu Bongo wameipongeza Rasimu ya Katiba Mpya iliyokabidhiwa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, mjini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Ali Muhammed Shein wakiwa na Rasimu ya Katiba Mpya waliyokabidhiwa hivi karibuni, mjini Dodoma. Wakizungumza na paparazi wetu kwa nyakati tofauti,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais akabidhiwa rasimu ya katiba mpya

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Jakaya Kikwete na Dr.Ali Mohamed Shein wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wamekabidhiwa rasmu ya pili ya mapendekezo ya mabadiliko ya katiba

 

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba mpya kupigiwa kura Sept. 21

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.WAKATI kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) likishinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe haraka iwezekanavyo, Bunge hilo limejiandaa kuwasilisha Katiba inayopendekezwa Septemba 21.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani