MASTAA WAIPONGEZA RASIMU YA KATIBA MPYA
![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu1IWUFYsyR5fwd1Tof9rtKXfyij-sWPoqQgVaLYssYz4b*mmY3zTzaBkCNF0dmPcyTB4KoPSQ-Ogb-DX54p9UbT/mastaa.jpg?width=650)
Stori: Deogratius Mongela Wasanii mbalimbali wa filamu Bongo wameipongeza Rasimu ya Katiba Mpya iliyokabidhiwa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, mjini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Ali Muhammed Shein wakiwa na Rasimu ya Katiba Mpya waliyokabidhiwa hivi karibuni, mjini Dodoma. Wakizungumza na paparazi wetu kwa nyakati tofauti,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
11 years ago
Michuzi25 Feb
HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA
Tazama video hapa...
10 years ago
VijimamboRASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
10 years ago
Habarileo19 Sep
Rasimu ya 3 Katiba mpya Jumatatu
RASIMU ya Tatu ya Katiba mpya, inatarajiwa kuwekwa hadharani Jumatatu ijayo, wakati Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, itakapokuwa ikiwasilisha rasimu hiyo kwa wajumbe wa bunge hilo.
11 years ago
BBCSwahili30 Dec
Rais akabidhiwa rasimu ya katiba mpya
10 years ago
Habarileo25 Sep
Rasimu ya Katiba mpya hii hapa
RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, imewekwa hadharani huku Muungano uliogeuka hoja kuu wakati wa mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba, ukibadilishwa na kuwa na baadhi ya sura mpya za kimuundo na kiutendaji, ambazo hazijawahi kupendekezwa katika historia ya Muungano.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika
10 years ago
GPL28 Jan