Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yapongezwa kununua meli mpya

CHAMA Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Dk Ali Mohamed Shein kwa kutekeleza ahadi zake kwa vitendo kwa kununua meli mpya ya abiria na mizigo kwa wananchi wa Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Zanzibar kununua meli mpya 2

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alizindua meli mpya ya kisasa mv Mapinduzi II juzi. Akizungumza katika uzinduzi huo amesema meli hiyo ni hatua muhimu ya utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya kuimarisha usafiri wa baharini.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yapongezwa kunusuru walioacha shule

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kufanikiwa kupambana na tatizo la ajira mbaya kwa watoto, ikiwemo kuwanusuru waliokuwa wameacha shule kwa zaidi ya miaka mitano.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yaikubali Rasimu mpya

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeelezea kuridhika na sehemu kubwa ya Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, kutokana na kuweka sawa mambo yenye maslahi kwa Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo jana alipokuwa akizungumzia hatua ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar, Othman Masoud Othman, kujitoa katika Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh9 bilioni kutengeneza meli mpya

Mamlaka ya Bandari Tanzania imeingia mkataba na kampuni ya Songoro Marine Transport kwa ajili ya kutengeneza meli kubwa yenye uwezo wa kubeba tani 200 za mizigo na abiria 200 kwa thamani ya Sh9.12 bilioni katika Bandari ya Itungi wilayani hapa.

 

9 years ago

Habarileo

Meli mpya Mv Mapinduzi II yatua Z’bar

MELI mpya ya Mv Mapinduzi (II) imewasili katika Bandari ya Zanzibar jana kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika kwa ujenzi wake nchini Korea Kusini.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI MPYA ZIWA NYASA


 Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Aliyevaa tai) akiwapa maelezo  wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo sehemu inapojengwa gati mpya (halionekani) katika Bandari ya Kiwira. Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania. Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO

 Picha ya Meli MV-Mapinduzi II ilipokuwa katika hatua za matengenezo Nchini Korea Kusini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akikata utepe kama ishara rasmi ya uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II katika bandari ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar akiwepo na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kulia) Nahodha wa Meli hiyo Abubakar Mzee (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

9 years ago

Michuzi

MELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu waliofika Bandari Kuu ya Zanzibar kushuhudia kuwasili kwa Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikitokea Korea kusini.Meli mpya ya  MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati Bandarini hapo.  Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari juu ya matumizi ya gharama zilizotumika mara baada  ya kuwasili kwa Meli ya MV. MAPINDUZI II Mjini Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani