Sh9 bilioni kutengeneza meli mpya
Mamlaka ya Bandari Tanzania imeingia mkataba na kampuni ya Songoro Marine Transport kwa ajili ya kutengeneza meli kubwa yenye uwezo wa kubeba tani 200 za mizigo na abiria 200 kwa thamani ya Sh9.12 bilioni katika Bandari ya Itungi wilayani hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Dkt. Abbasi: Meli, Chelezo vya Bilioni 153 Vinakamilika Mwanza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo ametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli mbili za New Victoria na MV Mwanza (zamani Butiama) na kuwahakikishia watanzania miradi yote hii itakamilika kwa wakati.
Akiwa kwenye maeneo ya ujenzi jijini Mwanza leo (tarehe 8.06.2020) Dkt. Abbasi amesema ujenzi wa meli hizo na Chelezo ni uthibitisho kuwa Serikali imetimiza wajibu...
5 years ago
Michuzi
TARURA KUTENGENEZA BARABARA ZA KILOMITA 332 NA VIVUKO SITA KWA SH BILIONI NNE JIJI LA DODOMA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuhakikisha Jiji la Dodoma linaendana na hadhi ya Makao Makuu ya Nchi, Wakala wa Barabara za vijijini na mijini Tanzania TARURA) jijini humo limepanga kutengeneza na kufanyia marekebisho miundombinu ya barabara ili kuondoa changamoto wanazokutana nazo wananchi.
Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA jiji la Dodoma, Eng Geofrey Mkinga wakati akiwasilisha mpango na bajeti ya matengenezo ya barabara kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwenye kikao cha baraza la madiwani.
Eng...
9 years ago
Habarileo14 Dec
Zanzibar kununua meli mpya 2
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alizindua meli mpya ya kisasa mv Mapinduzi II juzi. Akizungumza katika uzinduzi huo amesema meli hiyo ni hatua muhimu ya utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya kuimarisha usafiri wa baharini.
9 years ago
Habarileo03 Dec
Meli mpya Mv Mapinduzi II yatua Z’bar
MELI mpya ya Mv Mapinduzi (II) imewasili katika Bandari ya Zanzibar jana kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika kwa ujenzi wake nchini Korea Kusini.
10 years ago
Habarileo20 Sep
SMZ yapongezwa kununua meli mpya
CHAMA Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Dk Ali Mohamed Shein kwa kutekeleza ahadi zake kwa vitendo kwa kununua meli mpya ya abiria na mizigo kwa wananchi wa Zanzibar.
9 years ago
Michuzi
UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO



10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI MPYA ZIWA NYASA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
9 years ago
MichuziMELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR.