Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar kununua meli mpya 2

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alizindua meli mpya ya kisasa mv Mapinduzi II juzi. Akizungumza katika uzinduzi huo amesema meli hiyo ni hatua muhimu ya utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya kuimarisha usafiri wa baharini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

SMZ yapongezwa kununua meli mpya

CHAMA Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Dk Ali Mohamed Shein kwa kutekeleza ahadi zake kwa vitendo kwa kununua meli mpya ya abiria na mizigo kwa wananchi wa Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

MELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu waliofika Bandari Kuu ya Zanzibar kushuhudia kuwasili kwa Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikitokea Korea kusini.Meli mpya ya  MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati Bandarini hapo.  Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari juu ya matumizi ya gharama zilizotumika mara baada  ya kuwasili kwa Meli ya MV. MAPINDUZI II Mjini Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO

 Picha ya Meli MV-Mapinduzi II ilipokuwa katika hatua za matengenezo Nchini Korea Kusini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akikata utepe kama ishara rasmi ya uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II katika bandari ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar akiwepo na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kulia) Nahodha wa Meli hiyo Abubakar Mzee (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuleta meli ya kisasa Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar ipo mbioni kuleta meli kubwa na ya kisasa itakayokuwa ikisafirisha abiria kutoka Unguja  kwenda Pemba ambayo itakuwa na garantii ya usalama. Naibu Katibu Mkuu wa Chama...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Meli Zanzibar kufuatiliwa kwa setilaiti


Na Antar Sangali, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mradi wa kufunga vyombo vya mawasiliano ya meli na boti za uvuvi ili kuweza kuziona zikiwa baharini na kufuatiliwa kwa setalaiti kulinda usalama wa abiria pamoja na kupambana na vitendo vya uhalifu, usafirishaji dawa za kulevya, uharamia na ugaidi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, alitoa msimamo huo wakati akihudhuria  mafunzo ya mradi wa kuviona vyombo baharini vikitoa huduma au...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Shein kulimarisha Shirika la Meli la Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu kati ya moja ya majimbo ya Pemba. Na Mwandishi Wetu Pemba. Jumapili, Oktoba 4, 2015 Mgombea urais […]

The post Dk Shein kulimarisha Shirika la Meli la Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh9 bilioni kutengeneza meli mpya

Mamlaka ya Bandari Tanzania imeingia mkataba na kampuni ya Songoro Marine Transport kwa ajili ya kutengeneza meli kubwa yenye uwezo wa kubeba tani 200 za mizigo na abiria 200 kwa thamani ya Sh9.12 bilioni katika Bandari ya Itungi wilayani hapa.

 

9 years ago

Habarileo

Meli mpya Mv Mapinduzi II yatua Z’bar

MELI mpya ya Mv Mapinduzi (II) imewasili katika Bandari ya Zanzibar jana kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika kwa ujenzi wake nchini Korea Kusini.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani