Meli Zanzibar kufuatiliwa kwa setilaiti
Na Antar Sangali, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mradi wa kufunga vyombo vya mawasiliano ya meli na boti za uvuvi ili kuweza kuziona zikiwa baharini na kufuatiliwa kwa setalaiti kulinda usalama wa abiria pamoja na kupambana na vitendo vya uhalifu, usafirishaji dawa za kulevya, uharamia na ugaidi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, alitoa msimamo huo wakati akihudhuria mafunzo ya mradi wa kuviona vyombo baharini vikitoa huduma au...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Dec
Zanzibar kununua meli mpya 2
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alizindua meli mpya ya kisasa mv Mapinduzi II juzi. Akizungumza katika uzinduzi huo amesema meli hiyo ni hatua muhimu ya utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya kuimarisha usafiri wa baharini.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Dk Shein kulimarisha Shirika la Meli la Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu kati ya moja ya majimbo ya Pemba. Na Mwandishi Wetu Pemba. Jumapili, Oktoba 4, 2015 Mgombea urais […]
The post Dk Shein kulimarisha Shirika la Meli la Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Serikali kuleta meli ya kisasa Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar ipo mbioni kuleta meli kubwa na ya kisasa itakayokuwa ikisafirisha abiria kutoka Unguja kwenda Pemba ambayo itakuwa na garantii ya usalama. Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
9 years ago
MichuziMELI MPYA YA MV. MAPINDUZI II YAWASILI BANDARI KUU YA ZANZIBAR.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sXxjfIdoOWY/Vmwv0zLl-YI/AAAAAAAIL5I/6ij-Vs8GeJ8/s72-c/DSC_3734.jpg)
UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-sXxjfIdoOWY/Vmwv0zLl-YI/AAAAAAAIL5I/6ij-Vs8GeJ8/s640/DSC_3734.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uvd6nY8fLSQ/VmwwL61DJ-I/AAAAAAAIL5Y/idQIbCd-9sM/s640/DSC_3788.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gF-TyVJ7sCc/VmwwP047XeI/AAAAAAAIL5o/-h2r_BV5sgU/s640/DSC_3817.jpg)
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio)
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio la meli kuwaka moto Nimeipata ripoti pia kwenye habari ya ITV kwamba meli hiyo ya MV Royal imepata ajali ya kuwaka moto ikiwa katikati ya safari kutoka Unguja kwenda Pemba, moto huo umeunguza injini za meli hiyo lakini kwa bahati nzuri ikatokea […]
The post Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo Movies12 Sep
Aunty Ezekiel Hataki Kufuatiliwa
STAA wa Bongo Movie ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja Aunty Ezekiel amesema huwa anakerwa na watu ambao wanapenda kufuatilia mahusiano yake na baba mtoto wake Moses Iyobo, dansa wa Diamond Platinumz.
Aunty Ezekiel alisema, kuna baadhi ya watu wanapenda kumfuatilia mahusiano yake na kudai yeye amemzidi umri dansa huyo kitu ambacho hapendezwi nacho.
Alisema huwa anawashangaa sana baadhi ya watu ambao wanashidwa kufanya mambo yao na kumjadili maisha yake.
“Jamani mimi sipendi maneno ya...
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Kiongozi wa upinzani apinga kufuatiliwa
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Tembo Ruaha kufuatiliwa na kifaa maalumu