Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio)

Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio la meli kuwaka moto Nimeipata ripoti pia kwenye habari ya ITV kwamba meli hiyo ya MV Royal imepata ajali ya kuwaka moto ikiwa katikati ya safari kutoka Unguja kwenda Pemba, moto huo umeunguza injini za meli hiyo lakini kwa bahati nzuri ikatokea […]

The post Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)

Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]

The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa..

December 18 2015 nilikusogezea ripoti kutoka Iringa Tanzania, ilihusu ajali ya basi la abiria la Kampuni ya New Force Ltd ambalo lililongana na lori la mbao lilibeba mbao kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam… watu 12  walifariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu […]

The post Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

BODI YA KUCHUNGUZA AJALI YA MV KILIMANJARO 2 YAKABIDHI RIPOTI KWA WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO ZANZIBAR

Na Nafisa M. Ali  Bodi ya kuchunguza ajali ya Meli ya MV. Kilimanjaro 2 leo imekabidhi rasmi Ripoti ya ajali hiyo baada ya kumaliza kazi hiyo kwa Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Rashid Seif Suleiman Ofisini kwake Kisauni nje kidogo ya mji wa Zanzibar.  Akikabidhi Ripoti hiyo Mwenyekiti wa Bodi hiyo Khamis Ramadhan Abdallah amesema kazi hiyo waliyopewa wameweza kuimaliza kwa mujibu wa siku walizopewa na walikuwa huru bila ya kuingiliwa na mkono wa Serikali wala Taasisi yoyote.  Aidha...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania DECEMBER 18 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 18, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Vigogo wa TRA wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kutokana na upotevu wa makontena […]

The post Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza …

Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta ‘Tukio limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda […]

The post Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Haya ndio majibu ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani kwenye Mdahalo kuhusu Changamoto za TZ.. (Audio & Pichaz)

June 08 2015 ilikuwa siku ambayo Historia ilianza kuandikwa TZ kwenye ishu za Siasa, ulifanyika Mdahalo wa KWANZA wa Wagombea ambao wametangaza nia Kugombea Urais TZ kupitia CCM.
Kutokana na sababu mbalimbali Wagombea wengi hawakujitokeza, Mgombea mmoja Balozi Amina Salum Ali ndio Mgombea pekee aliejitokeza kwenye mdahalo huo.
June 18 2015 ilikuwa zamu ya Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Upinzani kukutana pale Hyatt Regency Hotel kwenye Mdahalo huo na kujadili ishu mbalimbali zinazoihusu...

 

9 years ago

Vijimambo

TAAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA KUHUSU MOTO UNAOUNGUZA SEHEMU YA MLIMA MERU

post-feature-imageHIFADHI ZA TAIFA TANZANIAMoto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya msitu wa hifadhi hiyo.
Wananchi wapatao 200 kutoka vijiji jirani vya Olosinoni na Kisimiri Juu wakishirikiana na TANAPA wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiweze kuleta madhara makubwa kwa binadamu hususan wageni wanaotembelea hifadhi kwa lengo la kupanda...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP

Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]

The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani