UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
![](http://api.ning.com:80/files/1TxjyclNmzvNS8CTPKaZcFuy4XRvfw4yHPDa-yg29l5uALiOq6vFDVFi42a2X6rjQs8uYnUmgMXUrDMq9RugxPdh5HuPMi15/ombeni.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1 Waziri wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Uteuzi wa mawaziri
NGOJA nicheke mjukuu wa Misango mwana wa Bwire niongeze siku za kuishi. Ngoja nicheke hata kama ni kwa uchungu, ili nyongo initoke niendelee na maisha ya kutafuta mkate wa wanangu....
11 years ago
Habarileo21 Dec
JK atengua uteuzi Mawaziri wanne
RAIS Jakaya Kikwete, ametengua uteuzi wa Mawaziri wanne, akikubaliana na kilio cha Wabunge cha kuwawajibisha mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza.
9 years ago
Habarileo25 Dec
Uteuzi wa mawaziri wanne wapongezwa
UTEUZI wa mawaziri na naibu, uliofanywa na Rais John Magufuli kukamilisha Baraza lake la Mawaziri, umepongezwa na watu wa kada tofauti. Watu hao wamesema wanawakubali walioteuliwa huku wakisisitiza wapewe nafasi na muda, waoneshe utendaji wao.
11 years ago
Mwananchi29 Dec
JK akuna kichwa uteuzi baraza la mawaziri
9 years ago
Habarileo11 Dec
Uteuzi mawaziri wagusa wengi, wapongezwa
WATU wa kada mbalimbali wamepongeza uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri kwamba hatua hiyo itasaidia kuwa na watu wachache watakaofanya kazi ya kusaidia kuinua uchumi wa nchi. Aidha, uteuzi wake wa Baraza la Mawaziri umewagusa viongozi wa taasisi mbalimbali na wasomi nchini ambao wamelitaja baraza hilo kuwa ni la viwango lililozingatia weledi.
9 years ago
Habarileo24 Dec
Mawaziri wapya wanne wateuliwa
RAIS John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la Kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mawaziri wapya watangaza kiama