Uteuzi wa mawaziri wanne wapongezwa
UTEUZI wa mawaziri na naibu, uliofanywa na Rais John Magufuli kukamilisha Baraza lake la Mawaziri, umepongezwa na watu wa kada tofauti. Watu hao wamesema wanawakubali walioteuliwa huku wakisisitiza wapewe nafasi na muda, waoneshe utendaji wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo11 Dec
Uteuzi mawaziri wagusa wengi, wapongezwa
WATU wa kada mbalimbali wamepongeza uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri kwamba hatua hiyo itasaidia kuwa na watu wachache watakaofanya kazi ya kusaidia kuinua uchumi wa nchi. Aidha, uteuzi wake wa Baraza la Mawaziri umewagusa viongozi wa taasisi mbalimbali na wasomi nchini ambao wamelitaja baraza hilo kuwa ni la viwango lililozingatia weledi.
11 years ago
Habarileo21 Dec
JK atengua uteuzi Mawaziri wanne
RAIS Jakaya Kikwete, ametengua uteuzi wa Mawaziri wanne, akikubaliana na kilio cha Wabunge cha kuwawajibisha mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1TxjyclNmzvNS8CTPKaZcFuy4XRvfw4yHPDa-yg29l5uALiOq6vFDVFi42a2X6rjQs8uYnUmgMXUrDMq9RugxPdh5HuPMi15/ombeni.jpg)
UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
9 years ago
CCM Blog01 Nov
JK AFANYA UTEUZI MAKATIBU WAKUU WANNE
Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili.
Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Uteuzi wa mawaziri
NGOJA nicheke mjukuu wa Misango mwana wa Bwire niongeze siku za kuishi. Ngoja nicheke hata kama ni kwa uchungu, ili nyongo initoke niendelee na maisha ya kutafuta mkate wa wanangu....
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Mawaziri wanne OUT
MASHAMBULIZI ya wabunge dhidi ya mawaziri wanne kushindwa kusimamia wizara zao, yamemfanya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wao kuanzia jana. Mawaziri hao ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis...
11 years ago
Mwananchi29 Dec
JK akuna kichwa uteuzi baraza la mawaziri
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Mawaziri wanne wang’oka