Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wanne wang’oka

>Ripoti ya Kamati ya Maliasili, Ardhi na Mazingira iliyowasilishwa jana asubuhi bungeni mjini Dodoma, imewang’oa madarakani mawaziri wanne ambao wizara zao zilishindwa kusimamia vizuri utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mkono wa rubani wang'oka hewani

Rubani apoteza mwelekeo angani akiendesha ndege ya biria baada ya mkono wake bandia kung'oka wakati alipokua akielekea kutua.

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kagera katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, Ismail Mahamudu  akizungumza mbele ya waandishi wa habari, baada ya yeye na madiwani wengine wanne wa chama hicho, kutangaza kung'oka ACT-Wazalendo.na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wafurahia mawaziri kung’oka

MADIWANI wa Wilaya ya Tarime, Mara, wamefurahishwa na taarifa ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake James Lembeli bungeni na kusababisha mawaziri wanne kuachia nyadhifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kung’oka kwa mawaziri tusherehekehe au tulie?

MAWAZIRI wanne katika Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa ukingoni wameng’oka baada ya shinikizo kali kutoka kwa wabunge kufuatia kashfa ya ukiukwaji mkubwa wa haki za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri wanne OUT

MASHAMBULIZI ya wabunge dhidi ya mawaziri wanne kushindwa kusimamia wizara zao, yamemfanya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wao kuanzia jana. Mawaziri hao ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis...

 

9 years ago

Habarileo

Uteuzi wa mawaziri wanne wapongezwa

UTEUZI wa mawaziri na naibu, uliofanywa na Rais John Magufuli kukamilisha Baraza lake la Mawaziri, umepongezwa na watu wa kada tofauti. Watu hao wamesema wanawakubali walioteuliwa huku wakisisitiza wapewe nafasi na muda, waoneshe utendaji wao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete afukuza mawaziri wanne TZ

Mawaziri wanne wa Tanzania wamefukuzwa kazi na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikiwete baada ya kutengua uteuzi wao.

 

11 years ago

Habarileo

JK atengua uteuzi Mawaziri wanne

RAIS Jakaya Kikwete, ametengua uteuzi wa Mawaziri wanne, akikubaliana na kilio cha Wabunge cha kuwawajibisha mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza.

 

9 years ago

Habarileo

Mawaziri wapya wanne wateuliwa

RAIS John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la Kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani