Uteuzi wa mawaziri
NGOJA nicheke mjukuu wa Misango mwana wa Bwire niongeze siku za kuishi. Ngoja nicheke hata kama ni kwa uchungu, ili nyongo initoke niendelee na maisha ya kutafuta mkate wa wanangu....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1TxjyclNmzvNS8CTPKaZcFuy4XRvfw4yHPDa-yg29l5uALiOq6vFDVFi42a2X6rjQs8uYnUmgMXUrDMq9RugxPdh5HuPMi15/ombeni.jpg)
UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
9 years ago
Habarileo25 Dec
Uteuzi wa mawaziri wanne wapongezwa
UTEUZI wa mawaziri na naibu, uliofanywa na Rais John Magufuli kukamilisha Baraza lake la Mawaziri, umepongezwa na watu wa kada tofauti. Watu hao wamesema wanawakubali walioteuliwa huku wakisisitiza wapewe nafasi na muda, waoneshe utendaji wao.
11 years ago
Habarileo21 Dec
JK atengua uteuzi Mawaziri wanne
RAIS Jakaya Kikwete, ametengua uteuzi wa Mawaziri wanne, akikubaliana na kilio cha Wabunge cha kuwawajibisha mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza.
11 years ago
Mwananchi29 Dec
JK akuna kichwa uteuzi baraza la mawaziri
9 years ago
Habarileo11 Dec
Uteuzi mawaziri wagusa wengi, wapongezwa
WATU wa kada mbalimbali wamepongeza uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri kwamba hatua hiyo itasaidia kuwa na watu wachache watakaofanya kazi ya kusaidia kuinua uchumi wa nchi. Aidha, uteuzi wake wa Baraza la Mawaziri umewagusa viongozi wa taasisi mbalimbali na wasomi nchini ambao wamelitaja baraza hilo kuwa ni la viwango lililozingatia weledi.
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
TGNP: “Uteuzi waBaraza la Mawaziri uzingatie usawa wa kijinsia”
Wawakilishi wa TGNP Mtandao, Action Aid Tanzania, FemAct pamoja na wanaharakati ngazi ya jamii wakiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa wanawake katika uchaguzi mkuu mwaka huu na uundwaji wa baraza la mawaziri.
Tamko la TGNP na wadau wengine lisome hapa!
9 years ago
Michuzi24 Dec
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI KUJAZA NAFASI ZILIZOKUWA WAZI
![pombe](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/pombe1.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Tamko la Mtandao wa Mashirika yanayotetea Usawa wa Kinjinsia na Haki za Binadamu (Fem Act) juu ya Uteuzi wa baraza la mawaziri!!
Soma hapa tamko hilo la FEMACT…