TGNP: “Uteuzi waBaraza la Mawaziri uzingatie usawa wa kijinsia”
Wawakilishi wa TGNP Mtandao, Action Aid Tanzania, FemAct pamoja na wanaharakati ngazi ya jamii wakiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa wanawake katika uchaguzi mkuu mwaka huu na uundwaji wa baraza la mawaziri.
Tamko la TGNP na wadau wengine lisome hapa!
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL11 Nov
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Tamko la Mtandao wa Mashirika yanayotetea Usawa wa Kinjinsia na Haki za Binadamu (Fem Act) juu ya Uteuzi wa baraza la mawaziri!!
Soma hapa tamko hilo la FEMACT…
10 years ago
Vijimambo04 Dec
Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP
![Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0025.jpg)
![Msanii Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameandaliwa na TGNP Mtandao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0522.jpg)
![Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0387.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
TGNP yafanya Tamasha kupinga Ukatili wa Kijinsia
Kaimu Mkuu wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi.Lilian Liundi akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari.
Na Mwandishi wetu
Tamasha la kupinga ukatili wa kijinsia lililojulikana kama siku ya rangi ya chungwa lilifanyika jana jijini Dar es Salaam kupinga unyanyasaji kwa mwanamke na mtoto wa kike.
Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Liliani Liundi alisema, Tanzania ilipewa jina la kisiwa cha amani lakini jina hili haliwezi kuwa la kweli ikiwa kuna...
9 years ago
Mtanzania06 Jan
TGNP walia na uteuzi wa Rais Magufuli
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MTANDAO wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi, umemwomba Rais Dk. John Magufuli, kusimamia kikamilifu utekelezwaji wa mikataba mbalimbali iliyosainiwa na Tanzania hasa ile ya usawa wa kijinsia ili kupunguza pengo lililopo kuelekea usawa wa 50/50 katika nafasi za uongozi.
Mikataba hiyo ni pamoja na Mpango Kazi wa Beijing (1995), Mkataba wa Maputo, Mkataba wa Nyongeza wa Jinsia na Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC ...
11 years ago
BBCSwahili05 Jan
Mjadala wa Usawa wa Kijinsia
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Pengo la usawa wa kijinsia lapungua
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Bunge la Katiba lizingatie usawa wa kijinsia
BUNGE Maalumu la Katiba, wiki inayoanza kesho litaingia katika hatua nyingine muhimu ya kupokea taarifa ya rasimu ya pili ya Katiba kutoka kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na baadaye...
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Hoja:Je usawa wa kijinsia unaweza kufikiwa?