Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGNP walia na uteuzi wa Rais Magufuli

lilianNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

MTANDAO wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi, umemwomba Rais Dk. John Magufuli, kusimamia  kikamilifu  utekelezwaji  wa  mikataba  mbalimbali iliyosainiwa  na  Tanzania  hasa  ile  ya  usawa  wa  kijinsia  ili kupunguza  pengo  lililopo kuelekea usawa  wa  50/50  katika  nafasi  za  uongozi.

Mikataba  hiyo  ni  pamoja  na  Mpango  Kazi  wa  Beijing  (1995), Mkataba  wa  Maputo,  Mkataba  wa  Nyongeza  wa  Jinsia  na  Maendeleo  Kusini  mwa  Afrika  (SADC ...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TGNP: “Uteuzi waBaraza la Mawaziri uzingatie usawa wa kijinsia”

TGN 3

Wawakilishi wa TGNP Mtandao, Action Aid Tanzania, FemAct  pamoja na wanaharakati ngazi ya jamii wakiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa wanawake katika uchaguzi mkuu mwaka huu na uundwaji wa baraza la mawaziri.

Tamko la  TGNP   na wadau wengine lisome hapa!

 

5 years ago

CCM Blog

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hosea

hosea

Dk. Edward Hosea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa, Dk. Edward Hosea kuanzia leo kwa sababu yakutoridhishwa na utendaji wa taasisi hiyo.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, amesema, Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambao walisafiri nje ya nchi licha ya Rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hoseah

Rais Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

9 years ago

Mwananchi

Walemavu Dodoma wakoshwa uteuzi alioufanya Rais Magufuli

 Chama cha watu wenye wenye ulemavu Tanzania (Chawata) mkoani hapa, kimempongeza Rais John Magufuli kwa kuwateua watu wenye ulemavu kushika nyadhifa za juu serikalini.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA

Dkt. Godwin Oloyce Mollel

Na Mwandishi Wetu

CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani