RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA
Na Mwandishi Wetu
CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...
9 years ago
Michuzi24 Dec
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI KUJAZA NAFASI ZILIZOKUWA WAZI
5 years ago
MichuziNEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Katibu Mkuu...
10 years ago
Habarileo26 Jan
Rais afanya uteuzi
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Masha Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI