Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI KATIKA MAHAKAMA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi katika Mahakama kama ifuatavyo;

Rais amemteua Bi. Katarina Revocati kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (Chief Registrar).  Kabla ya uteuzi huu,  Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.


Rais pia  amemteua Ndugu John Rugalema Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani na kabla ya...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MTENDAJI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI NA UNUNUZI WA UMMA (PPRA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).
Dkt. Shirima ni Mkurugenzi wa kujenga Uwezo wa Huduma za Ushauri (Capacity Building and Advisory Service-PPRA) na pia ndiye anaye kaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa PPRA.
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2014.
Imetolewa na;
Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WAPYA MIKOA MITANO NA KUHAMISHA WENGINE WAKIWEMO WAKURUGENZI WA MAJIJI

TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumamosi, Januari 18, 2014,  amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wapya wa mikoa mitano na kuhamisha makatibu tawala wengine na Wakurugenzi wa Majiji nchini. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue iliyotolewa jioni ya leo, Ikulu, Dar Es Salaam inasema kuwa uteuzi na uhamisho huo unaanza leo hii. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete ikulu

Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam
Picha ya pamoja(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete leo Ikulu, Dar es salaam

 Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea jioni hii Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete afanya uteuzi Mambo ya Ndani

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Seperatus Fella kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu. Kabla ya uteuzi huo, Fella alikuwa Kaimu Katibu wa Kamati hiyo na uteuzi wake ulianzia Agosti mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Rais afanya uteuzi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Masha Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani