Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI KATIKA MAHAKAMA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi katika Mahakama kama ifuatavyo;

Rais amemteua Bi. Katarina Revocati kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (Chief Registrar).  Kabla ya uteuzi huu,  Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.


Rais pia  amemteua Ndugu John Rugalema Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani na kabla ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MTENDAJI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI NA UNUNUZI WA UMMA (PPRA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).
Dkt. Shirima ni Mkurugenzi wa kujenga Uwezo wa Huduma za Ushauri (Capacity Building and Advisory Service-PPRA) na pia ndiye anaye kaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa PPRA.
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2014.
Imetolewa na;
Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WAPYA MIKOA MITANO NA KUHAMISHA WENGINE WAKIWEMO WAKURUGENZI WA MAJIJI

TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumamosi, Januari 18, 2014,  amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wapya wa mikoa mitano na kuhamisha makatibu tawala wengine na Wakurugenzi wa Majiji nchini. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue iliyotolewa jioni ya leo, Ikulu, Dar Es Salaam inasema kuwa uteuzi na uhamisho huo unaanza leo hii. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete afanya uteuzi Mambo ya Ndani

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Seperatus Fella kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu. Kabla ya uteuzi huo, Fella alikuwa Kaimu Katibu wa Kamati hiyo na uteuzi wake ulianzia Agosti mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Rais afanya uteuzi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Masha Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri


Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akiongea na vyombo vya habari jioni hii.
Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Ametangaza mabadiliko katika baraza lake la Mawaziri
Rais Kikwete amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano. Tangazo hilo lililotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Ikulu ya Rais Balozi 
Mabadiliko hayo yanajumuisha wadhfa wa Waziri wa Nishati na madini Prof Sospeter Muhongo ambae amejiuzulu mapema leo pamoja na...

 

5 years ago

CCM Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani