MAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAJIPANGA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye. Stori: Mwandishi Wetu, Dodoma SAKATA la mawaziri kutajwa kuwa ni mizigo, lililoibuliwa kwa mara ya kwanza na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, limeibuka tena mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha viongozi hao kujipanga ili kujitetea, ndani na nje ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Wakati Nape alirudia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi
KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0n7Hrjai02swGIDz*Fk6WdsDDd9a1GXYZsD1YLavc3d1oFhkym9UJhFYmcJjYLUQ9IiMPO7-tReXJLtgUaG1e-5/kinana.jpg?width=650)
MAWAZIRI MIZIGO ISICHUKULIWE KISIASA
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Walia Rais kuwaacha mawaziri ‘mizigo’
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Onyo la CCM kwa mawaziri 'mizigo'
11 years ago
Mwananchi27 May
Mwakilishi kuanza kutaja mawaziri mizigo wa SMZ
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Kakobe ataja chanzo cha mawaziri mizigo