Walia Rais kuwaacha mawaziri ‘mizigo’
Mabadiliko yaliyofaywa na Rais Jakaya Kikwete katika Baraza la Mawaziri, yamewaokoa baadhi ya mawaziri ambao walitajwa na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wabunge kuwa ni ‘mizigo’ na kwamba walipaswa kung’oka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Hoja ya mawaziri mizigo tuitumie kutafakari mamlaka ya rais
KATI ya mambo ambayo ni ya ajabu sana kwa Watanzania wengi, ni kushabikia masuala yasiyo na faida, kuyajadili halafu wanaacha kujadili mambo ambayo yanatufanya tuwe na maisha mafupi na ya...
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi
KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...
11 years ago
GPLMAWAZIRI MIZIGO ISICHUKULIWE KISIASA
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Onyo la CCM kwa mawaziri 'mizigo'
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe
11 years ago
GPLMAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAJIPANGA
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Ikulu yavunja ukimya kuhusu 'mawaziri mizigo'