Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAZIRI MIZIGO ISICHUKULIWE KISIASA

NIANZE kwa kumshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku ya leo tukiwa salama salimini. Kama ninavyosema siku zote, ni muhimu sana kumkumbuka na kumsifu muumba kwa sababu sisi tumepata bahati ya kuifikia leo siyo kwa ujanja tulionao, bali kwa rehema zake pekee. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye. Wakati Afrika yote ikiwa bado na simanzi kwa kifo cha shujaa wetu, mzee Nelson...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’

SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri mizigo waipasua CCM

HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi

KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...

 

11 years ago

Mwananchi

Walia Rais kuwaacha mawaziri ‘mizigo’

Mabadiliko yaliyofaywa na Rais Jakaya Kikwete katika Baraza la Mawaziri, yamewaokoa baadhi ya mawaziri ambao walitajwa na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wabunge kuwa ni ‘mizigo’ na kwamba walipaswa kung’oka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo la CCM kwa mawaziri 'mizigo'

Chama tawala TZ,CCM, kimeonya kwamba, hakitasita kuwachukulia hatua kali watendaji wa serikali wakiwemo mawaziri watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe

>Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibroad Slaa amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitafute dawa ya mawaziri ‘Mizigo’ badala yake wamwajibishe aliyewateua hao wanaowaita mzigo.

 

11 years ago

GPL

MAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAJIPANGA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye. Stori: Mwandishi Wetu, Dodoma
SAKATA la mawaziri kutajwa kuwa ni mizigo, lililoibuliwa kwa mara ya kwanza na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, limeibuka tena mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha viongozi hao kujipanga ili kujitetea, ndani na nje ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Wakati Nape alirudia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kakobe ataja chanzo cha mawaziri mizigo

>Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe amesema mawaziri mizigo ni matunda ya uteuzi mbovu unaofanywa na mamlaka husika ambao hauzingatii vipawa vya uongozi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakilishi kuanza kutaja mawaziri mizigo wa SMZ

Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia kutokana na kile alichodai vinaongeza gharama na badala yake wazidishe ulinzi katika Viwanja vya ndege na Bandari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani