Kandoro aagiza wafanyakazi wa Forodha watiwe mbaroni
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ameiagiza polisi kuwakamata wafanyakazi wote Idara ya Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika mpaka Tanzania na Zambia wa Tunduma ili waisaidie polisi katika uchunguzi wa magogo 1,301 yaliyokamatwa kwa kukwepa kulipa kodi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Jun
MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1280.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XAc4TY_7Ld0/VYroPWhqWmI/AAAAAAAHjmc/hVzH-GWrbz8/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
Mawakala wa forodha nchini waaswa kujisajili kwenye mfumo wa himaya moja ya forodha ya afrika mashariki(SINGLE CUSTOM TERRITORY)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OrT7_vcdnlM/VoJ6PoavlkI/AAAAAAAIPMA/NEJFsBODF00/s72-c/mabarawa-dec19-2013.jpg)
WAFANYAKAZI SABA WA TPA MBARONI KWA UPOTEVU WA MAKONTENA MPYA 11,884 NA MAGARI 2,019... WANANE WATOROKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OrT7_vcdnlM/VoJ6PoavlkI/AAAAAAAIPMA/NEJFsBODF00/s640/mabarawa-dec19-2013.jpg)
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Kandoro awavaa madereva alfajiri
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
AQRB iwafute wababaisha — Kandoro
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, ameishauri Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuwafuta wabunifu na wakadiriaji majenzi wababaishaji. Kandoro alisema watu hao wamekuwa wakichafua sifa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
RC Kandoro ajitwika zigo Sokoine
HATUA ya Chama cha Soka mkoani hapa (MREFA), kwa kushirikina na wamiliki wa Uwanja wa Sokoine kushindwa kuukarabati umeishtua Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa na kuamua kuingilia kati kwa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Kandoro aonya waharibifu miundombinu
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amekemea tabia inayofanywa na baadhi ya wananchi wasio wazalendo, ambao hubomoa kwa makusudi kingo za madaraja katika barabara kuu kwa lengo la kupata...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Kandoro: Mawakala chanzo cha ajali
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amsema siri ya kukithiri kwa ajali za barabarani ni kutokana na mawakala wanaokatisha tiketi katika vituo vya mabasi kutoa motisha ya fedha kwa...
10 years ago
Habarileo04 Jun
Kandoro aingilia kati sakata la mjamzito
SAKATA la unyanyasaji aliofanyiwa mjamzito Judith Komba siku ya kujifungua katika hospitali ya Rufaa kitengo cha wazazi cha Meta, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuagiza wauguzi waliokuwa zamu siku ya tukio wachukuliwe hatua stahiki.