Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kandoro awavaa madereva alfajiri

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro mwishoni mwa wiki alifanya jambo la aina yake baada ya kufanya mkutano wa hadhara saa 11.00 alfajiri, katika kituo kikuu cha mabasi uliowahusha abiria na madereva wa mabasi makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RC awavaa madereva bodaboda

Madereva wa pikipiki katika Mkoa wa Ruvuma (yeboyebo) ambao watabainika kujihusisha na vitendo vya uhalifu watachukuliwa hatua za kufikishwa katika vyombo vya sheria.

 

5 years ago

CCM Blog

DC MTWARA EVOD MMANDA AFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Evod Mmanda, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Aprili 27, 2020, katika Hospitali ya Ligula, Mtwara kutokana na maradhi ya moyo

Taarifa zinaeleza kuwa aliwahi kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam miezi minne iliyopita akisumbuliwa na matatizo ya presha kisha baadaye akaruhusiwa.

Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na Rais John  Magufuli, Desemba 19, 2016, akichukua nafasi ya Dkt. Khatib Kazungu ambaye alihamishiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AQRB iwafute wababaisha — Kandoro

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, ameishauri  Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuwafuta  wabunifu na wakadiriaji majenzi wababaishaji. Kandoro alisema watu hao  wamekuwa wakichafua sifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kandoro aonya waharibifu miundombinu

 MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amekemea tabia inayofanywa na baadhi ya wananchi wasio wazalendo, ambao hubomoa kwa makusudi kingo za madaraja katika barabara kuu kwa lengo la kupata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Kandoro ajitwika zigo Sokoine

HATUA ya Chama cha Soka mkoani hapa (MREFA), kwa kushirikina na wamiliki wa Uwanja wa Sokoine kushindwa kuukarabati umeishtua Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa na kuamua kuingilia kati kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar

Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...

 

9 years ago

Michuzi

Mandhari ya Zuhura-Mwezi-Zohali Pembetatu Pacha Alfajiri Alhamisi

Na Dkt. N T JiwajiMandhari ya kuvutia sana itaoneka angani alfajiri ya Alhamisi hii tarehe 7 Januari, jirani na upeo wa Mashariki kuanzia saa kumi na nusu alfajiri.  Sayari mbili, Zuhura (Venus) na Zohali (Saturn) zitaonekana pamoja na hilali nyembamba ya Mwezi katika umbo la pembe tatu pacha iliyolala.  Hilali itakuwa upande wa kushoto wakati sayari mbili Zuhura na Zohali zitakuwa karibu yake kwa umbali sawa zikitengeneza pembetatu pacha iliyolala.Zuhura itakuwa juu ikin'gaa mno wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kandoro: Viongozi wanakwamisha uhifadhi mazingira

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amesema kampeni ya uhifadhi wa mazingira inakuwa ngumu kufikia malengo kutoka na baadhi ya viongozi waliyopewa dhamana ya kusimamia kuwa vinara wa kuvunja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani