Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kandoro aonya waharibifu miundombinu

 MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amekemea tabia inayofanywa na baadhi ya wananchi wasio wazalendo, ambao hubomoa kwa makusudi kingo za madaraja katika barabara kuu kwa lengo la kupata...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU

KAMATI YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu. 
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Teknolojia ya kisasa kukabili wanyamapori waharibifu

WIZARA ya Maliasili na Utalii iko katika mazungumzo na kampuni moja kwa kushirikisha jamii ili kuweza kutumia teknolojia ya kisasa kukabiliana na wanyamapori wanaoharibu mazao. Waziri wa Maliasili na Utalii,...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka sheria ziwabane waharibifu wa mazingira

SERIKALI imetakiwa kuweka sheria kali na kuzitumia dhidi ya wote wanaoharibu mazingira na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ambayo yana athari kubwa kwa binadamu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nzige: Wadudu waharibifu wafanywa kuwa kitoweo Uganda na Somalia

Raia wa Uganda wanaoishi kaskakazini mwa wilya ya Kitgum wanakula nzige wa jangwani ambao wameharibi mimea yao kulingana na kituo cha habari cha Uganda radio Nnetwork URN.

 

10 years ago

StarTV

Viongozi wa kimila Mbozi waazimia kuwadhibiti waharibifu vyanzo vya maji.

Na Amina Saidi, Mbeya.

 

Viongozi wa kimila katika Kata za Hezya na Nyimbili wilayani Mbozi mkoani Mbeya wameamua kuisaidia Serikali katika kuwadhibiti waharibifu wa vyanzo vya maji na mazingira kwa kutumia kinga na adhabu za kimila.

 

Hatua hiyo imedaiwa kuwa itasaidia kuyaweka mazingira katika uasili wake na hivyo kuihakikishia jamii upatikanaji endelevu wa huduma ya maji safi na salama.

 

Katika mahojiano na Star Tv muda mfupi baada ya uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji unaovihusisha vijiji...

 

10 years ago

Mwananchi

Kandoro awavaa madereva alfajiri

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro mwishoni mwa wiki alifanya jambo la aina yake baada ya kufanya mkutano wa hadhara saa 11.00 alfajiri, katika kituo kikuu cha mabasi uliowahusha abiria na madereva wa mabasi makubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Kandoro ajitwika zigo Sokoine

HATUA ya Chama cha Soka mkoani hapa (MREFA), kwa kushirikina na wamiliki wa Uwanja wa Sokoine kushindwa kuukarabati umeishtua Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa na kuamua kuingilia kati kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AQRB iwafute wababaisha — Kandoro

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, ameishauri  Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuwafuta  wabunifu na wakadiriaji majenzi wababaishaji. Kandoro alisema watu hao  wamekuwa wakichafua sifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani