Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia ya kisasa kukabili wanyamapori waharibifu

WIZARA ya Maliasili na Utalii iko katika mazungumzo na kampuni moja kwa kushirikisha jamii ili kuweza kutumia teknolojia ya kisasa kukabiliana na wanyamapori wanaoharibu mazao. Waziri wa Maliasili na Utalii,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya TOR: Mbinu mpya ya kupambana na ujangili wa wanyamapori

Ujangili wa wanyamapori umekuwa tatizo sugu Tanzania. Ujangili huo umepunguza idadi ya tembo nchini.

 

11 years ago

Ykileo

TEKNOLOJIA YA MIWANI YA KISASA YAWA TISHIO

Kumekua na wimbi la ukuaji wa teknolojia kila kukicha, Ukuaji huu wa teknolojia umepelekea matumizi makubwa ya mitandao maeneo mengi na hili linaenda sambamba na ukuaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi sasa. Mbali na "MIWANI" pamoja na "MAGARI YASIYO NA DEREVA" kutoka Google, pia kumekua na aina nyingine ya miwani maarufu kama “Spy glasses” ambayo awali iliaminika inatumiwa zaidi na wahalifu ( wadukuzi) wa taarifa za watu.
Miongoni mwa maswala yaliyo umiza vichwa wataalam wa maswala ya usalama...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya kisasa itaondoa changamoto za sekta ya ujenzi nchini

>Bodi ya Usajili ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQSRB) imesema , utumiaji wa teknolojia ya kisasa katika sekta ya ujenzi ni jibu la uhakika la changamoto nyingi zinazoikabili sekta ya maendeleo ya miundombinu Tanzania.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Na Ahmed Makongo,

Bunda.

 

Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

 

Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.

 

where to get student loans with no credit

Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...

 

10 years ago

Vijimambo

PUSH OBSERVER YAZINDUA TEKNOLOJIA YA KISASA YA UKUSANYAJI WA TAARIFA IJULIKANAYO NEWSRADAR

Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake.mkuu wa mikakati wa kampuni ya Six Telecoms ambayo ni kampuni mama ya Push Observer, Rashid Shamte akielezea faida ambazo watazipata kampuni mbalimbali nchini, husasani za kibiashara kwa kujiunga na huduma ya NewsRadar waliyoianzisha nchii.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Push Mobile Fred Manento...

 

5 years ago

Michuzi

ALAF Limited yaja na Teknolojia mpya ya ujenzi wa kisasa wa gharama nafuu SAFBUILD

Keki ya uzinduzi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa nyumba na maghala wa kisasa SAFBUILD ikikatwa kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar Es Salaam jana, kutoka kushoto ni Reuben kutoka TCC, Mohamed Hussein kutoka JMB International, Isamba Kasaka kutoka ALAF, Shailesh Tripathy wa ALAF, Athony Kazmi kutoka Kamaka ltd na Anurag Mishra kutoka ALAFMeneja wa Miradi na Mauzo wa ALAF, Shailesh Tripathy (aliyenyoosha mkono kulia) akifungua pazia kuzindua rasmi ujenzi mpya wa teknolojia ya kisasa...

 

10 years ago

Michuzi

Push Observer yazindua teknolojia ya kisasa ya ukusanyaji wa Taarifa ijulikanayo kwa jina la NewsRadar

 Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake. mkuu wa mikakati wa kampuni ya Six Telecoms ambayo ni kampuni mama ya Push Observer, Rashid Shamte akielezea faida ambazo watazipata kampuni mbalimbali nchini, husasani za kibiashara kwa kujiunga na huduma ya NewsRadar waliyoianzisha nchii.Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya Push Mobile Fred Manento...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

10 years ago

GPL

PUSH OBSERVER YAZINDUA TEKNOLOJIA YA KISASA YA UKUSANYAJI WA TAARIFA IJULIKANAYO KWA JINA LA NEWSRADAR

 Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake.  mkuu wa mikakati wa kampuni ya Six Telecoms ambayo ni kampuni mama ya Push Observer, Rashid Shamte akielezea faida ambazo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani