ALAF Limited yaja na Teknolojia mpya ya ujenzi wa kisasa wa gharama nafuu SAFBUILD

Keki ya uzinduzi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa nyumba na maghala wa kisasa SAFBUILD ikikatwa kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar Es Salaam jana, kutoka kushoto ni Reuben kutoka TCC, Mohamed Hussein kutoka JMB International, Isamba Kasaka kutoka ALAF, Shailesh Tripathy wa ALAF, Athony Kazmi kutoka Kamaka ltd na Anurag Mishra kutoka ALAF
Meneja wa Miradi na Mauzo wa ALAF, Shailesh Tripathy (aliyenyoosha mkono kulia) akifungua pazia kuzindua rasmi ujenzi mpya wa teknolojia ya kisasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Sep
Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Teknolojia ya kisasa itaondoa changamoto za sekta ya ujenzi nchini
11 years ago
Dewji Blog17 Oct
NHC yaelezea namna ilivyosaidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo, akimpa maelezo ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii Bi Susan Omari alipotembelea mradi huo ulioko eneo la Isikizya Wilayani Uyui jana. (Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa).
Mwonekanao wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Isikizya Mkoani Tabora.
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo akiendelea kutoa maelezo ya...
11 years ago
Dewji Blog08 Oct
Rais Kikwete asifu juhudi za NSSF kuwezesha mradi wa daraja la Kigamboni na ujenzi wa nyumza za gharama nafuu
Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi wa daraja la Kigamboni inayofadhiliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), pamoja na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizopo Kijichi Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, jana, ambapo ameagiza changamoto zilizoanishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujamalizika.
Akizungumza wakati wa kupokea taarifa ya ujenzi...
11 years ago
Michuzi
Raisi Kikwete asifu juhudi za NSSF kuwezesha mradi wa daraja la kigamboni na ujenzi wa nyumza za gharama nafuu


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dk. Ramadhan Dau (wa...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja nchini
JITIHADA za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji nchini, zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer.
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI inatarajiwa kujenga maabara ya kisasa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe (embryo transfer).
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilisema jana kuwa maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika Ranchi ya Mzeli mkoani Tanga na kampuni ya Overland Livestock Multiplication Unit and Embryo Transfer kwa kutumia teknolojia kutoka New Zealand na kwa kushirikiana na Kampuni ya Taifa ya Ranchi...
10 years ago
MichuziWatanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo
10 years ago
Dewji Blog19 May