Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja nchini

JITIHADA za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji nchini, zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja Tanzania

cowNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

SERIKALI inatarajiwa kujenga  maabara ya kisasa  ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe (embryo transfer).

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilisema jana kuwa maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika   Ranchi ya Mzeli mkoani Tanga na kampuni ya   Overland Livestock Multiplication Unit and Embryo Transfer kwa kutumia teknolojia kutoka   New Zealand na kwa kushirikiana na Kampuni ya Taifa ya Ranchi...

 

10 years ago

Habarileo

Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.

 

5 years ago

Michuzi

ALAF Limited yaja na Teknolojia mpya ya ujenzi wa kisasa wa gharama nafuu SAFBUILD

Keki ya uzinduzi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa nyumba na maghala wa kisasa SAFBUILD ikikatwa kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar Es Salaam jana, kutoka kushoto ni Reuben kutoka TCC, Mohamed Hussein kutoka JMB International, Isamba Kasaka kutoka ALAF, Shailesh Tripathy wa ALAF, Athony Kazmi kutoka Kamaka ltd na Anurag Mishra kutoka ALAFMeneja wa Miradi na Mauzo wa ALAF, Shailesh Tripathy (aliyenyoosha mkono kulia) akifungua pazia kuzindua rasmi ujenzi mpya wa teknolojia ya kisasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

HP yaja na teknolojia kudhibiti bidhaa bandia

WATU wengi hawana ufahamu wa kutosha kuhusu ununuzi wa bidhaa zilizotengenezwa chini ya kiwango. Watanzania wamekuwa wateja wakubwa wa bidhaa hizo kutokana na kuangalia unafuu wa bei. Licha ya mamlaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Teknolojia mpya ya KYC ya kusajili na kuhakiki namba za simu za mkononi kupitia Smartphone yazinduliwa nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki..

Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka rasmi uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH,TALIRI KUZALISHA NG'OMBE KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA

 Picha ikionesha sanamu ya Ng'ombe anayezalishwa na Taasisi ya Mifugo TALIRI-Mpwapwa. Mtafiti kiongozi Kabuni Thomas Kabuni- akionesha waandishi wa habari namna wanavyovuna mbegu kutoka kwa Ng'ombe Jike.
 Mkuu wa Taasisi ya Mifugo TALIRI-Mpwapwa Dkt Eliakunda Kimbi akionesha picha ya tafiti zinazofanyika kituoni kwake.Mtafiti kiongozi Kabuni Thomas Kabuni- akieleza waandishi wa habari hatua wanazozipitia katika kuzalisha viini tete.Na COSTECH
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)...

 

11 years ago

Michuzi

MAKARANI 90 WA MAHAKAMA MBALIMBALI NCHINI KUPEWA MAFUNZO YA KUJIFUNZA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA WA KUDHIBITI MASHAURI MAHAKAMANI KWA NJIA YA KOMPYUTA

    Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akifungua mafunzo hayo rasmi jana, katika maneno yake ya ufunguzi Kattanga amewaasa Makarani kutokufanya kazi kwa mazoea bali kufanya kulingana na misingi ya maadili ya Mahakama iliyopo lengo likiwa ni kubadili taswira ya Mahakama kwa wananchi, (kushoto) ni Msajili wa Mahakama ya Ardhi, Mhe. Lameck Mlacha, kulia ni Naibu Mkurugenzi Mafunzo, Bi. Rehema Vyas.

 Mmoja wa Makarani kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki. Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka Rasmi Uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart phone...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani