Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ALAF Limited yaja na Teknolojia mpya ya ujenzi wa kisasa wa gharama nafuu SAFBUILD

Keki ya uzinduzi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa nyumba na maghala wa kisasa SAFBUILD ikikatwa kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar Es Salaam jana, kutoka kushoto ni Reuben kutoka TCC, Mohamed Hussein kutoka JMB International, Isamba Kasaka kutoka ALAF, Shailesh Tripathy wa ALAF, Athony Kazmi kutoka Kamaka ltd na Anurag Mishra kutoka ALAFMeneja wa Miradi na Mauzo wa ALAF, Shailesh Tripathy (aliyenyoosha mkono kulia) akifungua pazia kuzindua rasmi ujenzi mpya wa teknolojia ya kisasa...

 

10 years ago

Habarileo

Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja nchini

JITIHADA za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji nchini, zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer.

 

10 years ago

Mtanzania

Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja Tanzania

cowNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

SERIKALI inatarajiwa kujenga  maabara ya kisasa  ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe (embryo transfer).

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilisema jana kuwa maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika   Ranchi ya Mzeli mkoani Tanga na kampuni ya   Overland Livestock Multiplication Unit and Embryo Transfer kwa kutumia teknolojia kutoka   New Zealand na kwa kushirikiana na Kampuni ya Taifa ya Ranchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi wa ghorofa wasitishwa

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...

 

11 years ago

Mwananchi

Meya asimamisha ujenzi wa ghorofa

Ujenzi wa ghorofa uliokuwa unaendelea mkabala na Benki ya NMB mjini Shinyanga, umesimamishwa kutokana na kudaiwa kujengwa chini ya kiwango.

 

11 years ago

Tanzania Daima

HP yaja na teknolojia kudhibiti bidhaa bandia

WATU wengi hawana ufahamu wa kutosha kuhusu ununuzi wa bidhaa zilizotengenezwa chini ya kiwango. Watanzania wamekuwa wateja wakubwa wa bidhaa hizo kutokana na kuangalia unafuu wa bei. Licha ya mamlaka...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atahadharisha ujenzi soko la ghorofa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehadharisha Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba dhidi ya mpango wake wa kujenga soko la ghorofa kwa kuitaka ijifunze kilichoikumba Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kujenga soko la Machinga Complex .

 

11 years ago

GPL

UJENZI WA GHOROFA WAPIGWA MARUFUKU KWA VILE LIMEONEKANA KUPINDA

Upande mmoja wa jengo hilo.
Likionekana kwa mbele.
Likionekana kwa mbali. JENGO la ghorofa tano linalojengwa pembezoni mwa barabara ya kwenda Tandale Sokoni maeneo ya…

 

11 years ago

Michuzi

news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam

Watu  wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15 au kwenda jela miaka miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya makosa matano ya ujenzi wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa Chimala Kitalu cha 45 na 46, kinyume cha sheria. 
 Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam. 
 Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani