Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi wa ghorofa wasitishwa

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Meya asimamisha ujenzi wa ghorofa

Ujenzi wa ghorofa uliokuwa unaendelea mkabala na Benki ya NMB mjini Shinyanga, umesimamishwa kutokana na kudaiwa kujengwa chini ya kiwango.

 

11 years ago

Habarileo

Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atahadharisha ujenzi soko la ghorofa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehadharisha Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba dhidi ya mpango wake wa kujenga soko la ghorofa kwa kuitaka ijifunze kilichoikumba Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kujenga soko la Machinga Complex .

 

11 years ago

GPL

UJENZI WA GHOROFA WAPIGWA MARUFUKU KWA VILE LIMEONEKANA KUPINDA

Upande mmoja wa jengo hilo.
Likionekana kwa mbele.
Likionekana kwa mbali. JENGO la ghorofa tano linalojengwa pembezoni mwa barabara ya kwenda Tandale Sokoni maeneo ya…

 

11 years ago

Michuzi

news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam

Watu  wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15 au kwenda jela miaka miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya makosa matano ya ujenzi wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa Chimala Kitalu cha 45 na 46, kinyume cha sheria. 
 Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam. 
 Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif asimamisha ujenzi wa nyumba ya ghorofa mjini Unguja, Zanzibar

Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Udahili IMTU wasitishwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), na kukipa notisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo wa mabasi wasitishwa

Mabasi yakianza kuondoka katika Kituo Kikuu Ubungo, Dar es Salaam jana kuelekea mikoani baada ya madereva kusitisha mgomo wao.w Picha nyingine ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na madereva na makondakta wa mabasi hayo. (Picha zote na Fadhili Akida).HUDUMA za usafiri wa mabasi ya mikoani na daladala, zilizokuwa zimekwama kwa saa 31 kuanzia alfajiri ya juzi, zilirejea jana mchana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wauguzi wasitishwa ghafla

Mkutano mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (Tana), uliokuwa unaendelea mjini Bukoba umesitishwa chini ya ulinzi wa polisi, ikiwa ni siku moja baada ya viongozi wao kutoa tamko linalotaka kuwapo kwa mabadiliko katika sekta ya afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani