Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Udahili IMTU wasitishwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), na kukipa notisi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TCU yasitisha udahili IMTU

>Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/15 katika Chuo  Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (Imtu) .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ardhi kuongeza udahili 2016

CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kinatarajiwa kudahili wanafunzi 7,700 ifikapo 2016/17. Mwenyekiti wa Baraza la ARU, Tabitha Siwale, aliyasema hayo kwenye mahafali ya nane yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kutoajiriwa kupunguza udahili mafunzo ya mifugo

MAKAMU Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo Kampasi ya Mpwapwa, Joseph Kasiga amesema kutotekelezwa kwa agizo la kuwapatia ajira wanafunzi wanaofuzu chuoni hapo huenda ikapunguza udahili miaka ijayo. Alisema hayo hivi karibuni wakati Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (Taliri) Mpwapwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kidato cha kwanza kufanya udahili wa pamoja

SERIKALI imesema ina mpango wa kuanzisha udahili wa pamoja wa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kujiunga na shule za sekondari za serikali na binafsi. Msemaji wa Wizara ya Elimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi wa ghorofa wasitishwa

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo wa mabasi wasitishwa

Mabasi yakianza kuondoka katika Kituo Kikuu Ubungo, Dar es Salaam jana kuelekea mikoani baada ya madereva kusitisha mgomo wao.w Picha nyingine ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na madereva na makondakta wa mabasi hayo. (Picha zote na Fadhili Akida).HUDUMA za usafiri wa mabasi ya mikoani na daladala, zilizokuwa zimekwama kwa saa 31 kuanzia alfajiri ya juzi, zilirejea jana mchana.

 

10 years ago

Michuzi

DIT yaongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi mbalimbali

Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salam (DIT), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi tofauti kutoka Agosti mwaka huu hadi kufikia Oktoba, lengo likiwa kutoa fura zaidi kwa waombaji kukamilisha taratibu. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, Mkuu wa Uhusiano wa chuo hicho, Amaan Kakana alisema, wamesogeza muda kwa waombaji wa kozi hizo ambazo zitaanza rasmi Novemba ili kutoa fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata fursa hiyo. Kupata aina ya Kozi hizo...

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo 3 wasitishwa kazi Rubada

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraKAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Aloyce Masanja na wenzake wawili wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na kujilimbikizia madaraka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Mgomo wasitishwa viwandani

Wafanyakazi katika sekta ya mafuta nchini Nigeria wamesitisha mgomo ulioanza mapema juma hili ambapo walikuwa analalamikia hali mbovu katika viwanda vya usafishaji mafuta na pia ubovu wa miundombinu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani