DIT yaongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi mbalimbali
![](http://3.bp.blogspot.com/-i_nOP-2_elk/VZgrmcVsGdI/AAAAAAAHm50/GiQjz1PjlDY/s72-c/n0u9lxtnqhi85twhh8fk.jpg)
Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salam (DIT), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi tofauti kutoka Agosti mwaka huu hadi kufikia Oktoba, lengo likiwa kutoa fura zaidi kwa waombaji kukamilisha taratibu. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, Mkuu wa Uhusiano wa chuo hicho, Amaan Kakana alisema, wamesogeza muda kwa waombaji wa kozi hizo ambazo zitaanza rasmi Novemba ili kutoa fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata fursa hiyo. Kupata aina ya Kozi hizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jun
Wanafunzi DIT waandamana
WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) leo wameandamana kwenda Wizara ya Sayansi na Teknolojia wakidai hawajaridhishwa na uamuzi wa uongozi wa chuo kuwazuia wanafunzi 684 kufanya mtihani.
10 years ago
Habarileo07 Aug
TFF yaongeza muda wa usajili
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limesogeza mbele dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu, daraja la kwanza na la pili na sasa litafunga Agosti 20 badala ya jana kama ilivyopangwa awali.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mycjQHjaZanStRRGVjQG1ecSKXHfe4vCXFSykqsqUCF6WjEXsZfCAiGDLxL-eSAF9aSf36rSPLvQEAgnO1AtD1p/Pichana1.jpg?width=650)
SENSA YA VIWANDA TANZANIA: SERIKALI YAONGEZA MUDA
10 years ago
Habarileo29 Jan
Bima ya Afya yaongeza muda kufanya uhakiki
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeongeza muda wa mwezi mmoja kwa wanachama wake kuweza kuhakiki taarifa zao, kabla ya kuhitimisha utaratibu huo ifikapo Februari 28, mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tNnbGK5x6Zo/VaYi3ce8KtI/AAAAAAAHp2c/EYYfH-79Amo/s72-c/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
Bodi ya Mikopo yaongeza muda wa kuwasilisha maombi
![](http://3.bp.blogspot.com/-tNnbGK5x6Zo/VaYi3ce8KtI/AAAAAAAHp2c/EYYfH-79Amo/s320/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwasilisha maombi yao hadi mwishoni mwa mwezi huu (31 Julai, 2015).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo (Jumatano, Julai 15, 2015) na Mkurugenzi Mtendaji wa (HESLB) Bw. George Nyatega, hatua hiyo imechukuliwa ilikuwapa fursa wombaji ambao hawajakamilisha kufanya hivyo.
“Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya...
10 years ago
Bongo507 Nov
Whatsapp yaongeza alama ya kuonesha ujumbe umesomwa na muda uliosomwa
10 years ago
Dewji Blog21 May
Flaviana Matata atoa elimu ya fursa mbalimbali zinazopatikana PSPF kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Mwanza
![](http://2.bp.blogspot.com/-LHPZ7-a_r_8/VV2ZGspLtFI/AAAAAAAAbAM/WYTzcvCs1QQ/s640/PIC3%2Bc.jpg)
Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.
![](http://2.bp.blogspot.com/-D8xi4V6BqwI/VV2ZCzkua0I/AAAAAAAAbAE/ahNmZXQRKI4/s640/PIC1%2Ba.jpg)
Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4pmGQ8A0Frc/VV2ZLaOmAEI/AAAAAAAAbAU/6BW2u-i8bUU/s640/PIC4%2Bd.jpg)
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi....
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAONGEZA MUDA WA KUJIANDIKISHA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-VpQEjSa0VSI/Vbn-JGWzcDI/AAAAAAABS5w/JqIXLZiBRgk/s640/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
5 years ago
BBCSwahili18 Apr
Virusi vya corona: Rwanda yaongeza muda wa kutotoka nje wa wiki mbili