Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bima ya Afya yaongeza muda kufanya uhakiki

 Eugene MikongotiMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeongeza muda wa mwezi mmoja kwa wanachama wake kuweza kuhakiki taarifa zao, kabla ya kuhitimisha utaratibu huo ifikapo Februari 28, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NIHF KUFANYA KAMPENI YA SIKU 60 KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA BIMA YA AFYA

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

TFF yaongeza muda wa usajili

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limesogeza mbele dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu, daraja la kwanza na la pili na sasa litafunga Agosti 20 badala ya jana kama ilivyopangwa awali.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar

Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Mikopo yaongeza muda wa kuwasilisha maombi

Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwasilisha maombi yao hadi mwishoni mwa mwezi huu (31 Julai, 2015).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo (Jumatano, Julai 15, 2015) na Mkurugenzi Mtendaji wa (HESLB) Bw. George Nyatega, hatua hiyo imechukuliwa ilikuwapa fursa wombaji ambao hawajakamilisha kufanya hivyo.
“Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya...

 

10 years ago

GPL

SENSA YA VIWANDA TANZANIA: SERIKALI YAONGEZA MUDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar Es salaam kueleza uamuzi wa Serikali kuongeza muda wa Sensa ya Viwanda Tanzania Bara hadi Agosti 31,2015 na hatua zitakazochukuliwa kufuatia viwanda 366 kushindwa kuwasilisha takwimu za uzalishaji kwenye Madodoso ya Sensa. Kaimu Meneja wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkoa wa Dar es salaam Bw. Albert Kapala akitoa ufafanuzi wa lengo la...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya

>Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) huenda usifikie lengo lake la kuwahudumia wananchi kwa asilimia 30 ifikapo mwakani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya Jiji la Dar es Salaam kushindwa kuhamasisha wananchi wake kujiunga.

 

10 years ago

Michuzi

DIT yaongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi mbalimbali

Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salam (DIT), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa kozi tofauti kutoka Agosti mwaka huu hadi kufikia Oktoba, lengo likiwa kutoa fura zaidi kwa waombaji kukamilisha taratibu. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, Mkuu wa Uhusiano wa chuo hicho, Amaan Kakana alisema, wamesogeza muda kwa waombaji wa kozi hizo ambazo zitaanza rasmi Novemba ili kutoa fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata fursa hiyo. Kupata aina ya Kozi hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani