Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria:Mgomo wasitishwa viwandani

Wafanyakazi katika sekta ya mafuta nchini Nigeria wamesitisha mgomo ulioanza mapema juma hili ambapo walikuwa analalamikia hali mbovu katika viwanda vya usafishaji mafuta na pia ubovu wa miundombinu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria kwafukuta mgomo viwandani

Nigeria muungano wa vyama viwili vikuu vya wafanyakazi kwenye sekta ya mafuta wametoa tamko la kuanza kwa mgomo mkubwa wa kitaifa.

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo wa mabasi wasitishwa

Mabasi yakianza kuondoka katika Kituo Kikuu Ubungo, Dar es Salaam jana kuelekea mikoani baada ya madereva kusitisha mgomo wao.w Picha nyingine ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na madereva na makondakta wa mabasi hayo. (Picha zote na Fadhili Akida).HUDUMA za usafiri wa mabasi ya mikoani na daladala, zilizokuwa zimekwama kwa saa 31 kuanzia alfajiri ya juzi, zilirejea jana mchana.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaipa Taboa wiki mbili, mgomo wasitishwa rasmi

Dar es Salaam. Serikali imewapa Wamiliki wa Mabasi (Taboa) wiki mbili za kutafakari namna gani watapata hasara, iwapo watatumia nauli mpya zilizopendekezwa na Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra).

 

10 years ago

StarTV

Wenye Viwanda kuanza mgomo Nigeria.

Nchini Nigeria muungano wa vyama viwili vikuu vya wafanyakazi kwenye sekta ya mafuta wametoa tamko la kuanza kwa mgomo mkubwa wa kitaifa nchini humo. Vyama hivyo kwa kifupi PENGASSAN na NUPENG wameorodhesha mlolongo wa madai ikiwa ni pamoja na migogoro ya kazi na hali mbaya ya usafishaji mafuta nchini humo.

Maafisa wakuu kutoka muungano huo wa vyama vya wafanyakazi wa sekta ya mafuta wameiambia BBC mgomo huo wan chi nzima ndio kwanza umeanza na hautakwisha mpaka hapo serikali ya nchi hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Udahili IMTU wasitishwa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), na kukipa notisi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi wa ghorofa wasitishwa

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo 3 wasitishwa kazi Rubada

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraKAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Aloyce Masanja na wenzake wawili wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na kujilimbikizia madaraka.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wauguzi wasitishwa ghafla

Mkutano mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (Tana), uliokuwa unaendelea mjini Bukoba umesitishwa chini ya ulinzi wa polisi, ikiwa ni siku moja baada ya viongozi wao kutoa tamko linalotaka kuwapo kwa mabadiliko katika sekta ya afya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usafiri treni Bara wasitishwa

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa treni kwenda mikoani. Kusitishwa kwa usafiri huo unaotegemewa na Watanzania wengi nchini, kumetokana na kujaa maji katika stesheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani