Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye Viwanda kuanza mgomo Nigeria.

Nchini Nigeria muungano wa vyama viwili vikuu vya wafanyakazi kwenye sekta ya mafuta wametoa tamko la kuanza kwa mgomo mkubwa wa kitaifa nchini humo. Vyama hivyo kwa kifupi PENGASSAN na NUPENG wameorodhesha mlolongo wa madai ikiwa ni pamoja na migogoro ya kazi na hali mbaya ya usafishaji mafuta nchini humo.

Maafisa wakuu kutoka muungano huo wa vyama vya wafanyakazi wa sekta ya mafuta wameiambia BBC mgomo huo wan chi nzima ndio kwanza umeanza na hautakwisha mpaka hapo serikali ya nchi hiyo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wenye maduka watakiwa kuacha mgomo

NAIBU wa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba amewaagiza wafanyabiashara wafungue maduka wakati muafaka baina ya wizara na Jumuiya ya Wafanyabiara (JWT) ukiendelea na mazungumzo. Akitoa taarifa kwa waandishi...

 

9 years ago

Mwananchi

Wenye viwanda Arusha walilia umeme

Wamiliki wa viwanda mkoani Arusha, wameishauri Serikali kuingilia kati na kushughulikia tatizo la umeme nchini kutokana na kuathiri uzalishaji wa bidhaa za ndani.

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA WENYE MADUKA KUPINGA KUPANDISHIWA KODI MJINI MOSHI

Maduka yakiwa yamefungwa mjini Moshi. WAMILIKI wa maduka mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamefunga maduka yao leo ikiwa ni mgomo wa kupinga kupandishiwa kodi kwa asilimia 100. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

11 years ago

Habarileo

Wenye viwanda vya samaki wamsononesha Waziri

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya wenye viwanda vya kusindika minofu ya samaki, kununua samaki wasio na sifa kutoka kwa wavuvi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgao wa umeme watesa wenye viwanda Arusha

Wamiliki wa viwanda mkoani Arusha, wameishauri Serikali kuingilia kati na kushughulikia tatizo la umeme nchini kutokana na kuathiri uzalishaji wa bidhaa za ndani.

 

9 years ago

Vijimambo

NAIBU KATIBU WA MADEREVA AZUNGUMZIA MGOMO WAO UNAOPANGWA KUANZA KESHO

Leo  Agosti 16 mwaka 2015 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa Kimara resort jijini Dar es salaam na kuahamua haya yafuatayo;Kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh aliwaeleza madereva hatima ya kamati ambayo imeundwa na Waziri Mkuu kusuruhisha kero za Madereva  hapa nchini.

Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh akizungumza na madereva amesema "Tarehe 13 /8 tulipo kwenda baada ya wao kusikia kuna tishio la mgomo,tulizani...

 

10 years ago

Mwananchi

Viwanda vya kubangua korosho kuanza kujengwa nchini

Hatimaye, ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangua korosho uliokuwa ukililiwa kwa muda mrefu unatarajiwa kuanza katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, ili kuliongezea thamani zao hili muhimu kwa uchumi wa Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

BASHUNGWA AWATAKA WENYE VIWANDA VYA SUKARI KUREJEA MIKATABA YA UBINAFSISHWAJI

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wenye viwanda vya sukari nchini kurejea mikataba ya uzalishaji walioafikiana na Serikali kujiridhisha iwapo inaenda sambamba na masharti waliokubaliana.
Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Kilimanjaro alipofanya ziara katika kiwanda cha cha kuzalisha sukari cha TPC ili kujiridhisha na hali ya uzalishaji viwandani hapa.
Kuna viwanda vinne Kagera sugar, Mtibwa Sugar, Kilombero Sugar na TPC wakati vinabinafsishwa vilipewa malengo...

 

5 years ago

Michuzi

OSHA, WENYE VIWANDA WAJADILI UTEKELEZAJI WA SHERIA YA AFYA NA USALAMA KAZINI

Viongozi wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI) wametembelea ofisi za Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kwa lengo la kujadiliana na wenyeji wao namna bora zaidi ya kuboresha mifumo ya usalama na afya katika viwanda hapa nchini.

Ujumbe huo wa viongozi kutoka CTI ambao ulijumuisha baadhi ya wawakilishi wa wanachama wa CTI uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirikisho hilo, Bw. Leodgar Tenga.Akizungumza baada ya kuhitimisha kikao hicho, Tenga amesema madhumuni ya kikao yalikuwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani