Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usafiri treni Bara wasitishwa

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa treni kwenda mikoani. Kusitishwa kwa usafiri huo unaotegemewa na Watanzania wengi nchini, kumetokana na kujaa maji katika stesheni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Usafiri wa treni kuboresha uchumi TZ?

Je uboreshwaji wa usafiri wa treni unawezaje kuboresha uchumi na maisha ya mtanzania?

 

11 years ago

Habarileo

Usafiri wa treni Dar es Salaam kuongezwa

HUDUMA ya usafiri wa treni ya abiria jijini Dar es Salaam inatarajiwa kuongezwa mwaka huu watu wengi zaidi wanufaike. Aidha mchakato wa ujenzi wa barabara za juu ya nyingine katika njia panda za Tazara na Ubungo umeshaanza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatafuta mwekezaji usafiri wa treni

SERIKALI imeruhusu mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza katika usafiri wa treni ajitokeze, ili kuuboresha. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tizeba, alieleza hayo mjini hapa jana katika kongamano la uwekezaji...

 

11 years ago

Habarileo

Treni kwenda Bara yaahirishwa

TRENI ya abiria ya kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa ya Bara, iliyokuwa iondoke leo imeahirishwa, kutokana na ajali ya treni ya mizito iliyotokea juzi usiku katika stesheni za Luiche na Kigoma.

 

11 years ago

Habarileo

Treni ya abiria bara kuanza leo

HUDUMA ya usafiri wa treni ya abiria kuelekea bara zinaanza rasmi leo, huku, Kampuni ya Reli ya Tanzania (TRL) ikiwahakikishia wananchi kutokuwa na hofu juu ya usafiri huo.

 

10 years ago

Habarileo

Treni iendayo kasi kwenda Bara kuanza Aprili

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza nauli ya treni mpya ya Deluxe, zilizoidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), zitakazoanza kutumika mapema Aprili, mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawataarifu abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na kutetereka kwa  daraja la reli kati ya stesheni ya Ruvu na mchepuko wa reli ya Ruvu kwenda Mruazi usiku wa kuamkia leo, umeamua kusitisha kwa muda huduma ya usafiri wa abiria hadi ukarabati wa  daraja utakapokamilika.
Tokea asubuhi ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na...

 

10 years ago

Michuzi

Treni ya kwenda Bara yaahirishwa hadi kesho Jumatano Juni 10, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na abiria waliokuwa wasafiri na treni ya leo Juni 09, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda bara kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho Jumatano saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 09, 2015 maeneo ya Stesheni za Ngeta na Ruvu mkoani Pwani ambapo mabehewa matano yenye shehena ya sukari yameanguka...

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA YA BARA KUANZA TENA JUMANNE JUNI 24, 2014

 Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unafuraha kuwataarifu  abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na kukamilika ukarabati wa daraja eneo la bonde la mto Ruvu mkoani Pwani huduma ya treni ya abiria itaanza upya hapo siku ya Jumanne Juni 24, 2014 kutoka Stesheni ya Dar es Salaam saa 11 jioni. Wananchi wanotaka kusafiri wafike stesheni zilizo karibu yao kwa ajili ya kukata tiketi kuanzia  Juni 19, 2014.
Halikadhalika muda wa kuondoka treni kwa siku za Jumanne na Ijumaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani