Usafiri wa treni kuboresha uchumi TZ?
Je uboreshwaji wa usafiri wa treni unawezaje kuboresha uchumi na maisha ya mtanzania?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Usafiri treni Bara wasitishwa
KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa treni kwenda mikoani. Kusitishwa kwa usafiri huo unaotegemewa na Watanzania wengi nchini, kumetokana na kujaa maji katika stesheni...
11 years ago
Habarileo03 Jan
Usafiri wa treni Dar es Salaam kuongezwa
HUDUMA ya usafiri wa treni ya abiria jijini Dar es Salaam inatarajiwa kuongezwa mwaka huu watu wengi zaidi wanufaike. Aidha mchakato wa ujenzi wa barabara za juu ya nyingine katika njia panda za Tazara na Ubungo umeshaanza.
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Serikali yatafuta mwekezaji usafiri wa treni
SERIKALI imeruhusu mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza katika usafiri wa treni ajitokeze, ili kuuboresha. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tizeba, alieleza hayo mjini hapa jana katika kongamano la uwekezaji...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Tanzania, Canada kuboresha usafiri wa reli
WIZARA ya Uchukuzi imefikia makubaliano ya ushirikiano na Canada kwa lengo la kuiboresha sekta ya reli hiyo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu, Monica Mwamnyange, alisema...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Watalii waiomba Serikali kuboresha usafiri wa anga
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
UDA yasisitiza nia yake ya kuboresha usafiri Dar Es Salaam
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze kuitawala biashara ya usafiri.
Kwa mujibu wa taarifa ya UDA, mpango unaendelea wa kuifanya Dar es Salaam liwe jiji lenye urahisi katika usafiri kwa kufanya kazi kwa karibu na...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Uchumi wa Rukwa utakua tukiimarisha sekta ya usafiri
11 years ago
Habarileo30 Jun
TPSF yataka kauli sera kuboresha uchumi
IMEELEZWA kuwa mchango mkubwa wa kisera katika uchumi unaofanywa na sekta binafsi unastahili kukuzwa kwa manufaa ya sekta na taifa kwa ujumla.
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Mkapa: Kuboresha mazingira ya biashara kutachochea ukuaji uchumi