Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria kwafukuta mgomo viwandani

Nigeria muungano wa vyama viwili vikuu vya wafanyakazi kwenye sekta ya mafuta wametoa tamko la kuanza kwa mgomo mkubwa wa kitaifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Mgomo wasitishwa viwandani

Wafanyakazi katika sekta ya mafuta nchini Nigeria wamesitisha mgomo ulioanza mapema juma hili ambapo walikuwa analalamikia hali mbovu katika viwanda vya usafishaji mafuta na pia ubovu wa miundombinu.

 

10 years ago

StarTV

Wenye Viwanda kuanza mgomo Nigeria.

Nchini Nigeria muungano wa vyama viwili vikuu vya wafanyakazi kwenye sekta ya mafuta wametoa tamko la kuanza kwa mgomo mkubwa wa kitaifa nchini humo. Vyama hivyo kwa kifupi PENGASSAN na NUPENG wameorodhesha mlolongo wa madai ikiwa ni pamoja na migogoro ya kazi na hali mbaya ya usafishaji mafuta nchini humo.

Maafisa wakuu kutoka muungano huo wa vyama vya wafanyakazi wa sekta ya mafuta wameiambia BBC mgomo huo wan chi nzima ndio kwanza umeanza na hautakwisha mpaka hapo serikali ya nchi hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

ZANU-PF kwafukuta

Makamu wa raisi nchini Zimbabwe,Joyce Mujuru anapaswa kujiuzuru nyadhifa zake katika serikali na chama tawala cha ZANU-PF.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nishati na Madini kwafukuta tena

KASHFA ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh. bilioni 200) katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayowakabili vigogo wa Serikali wakiwemo Waziri...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi ajira viwandani

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuongeza ajira kwa asilimia 40 kupitia sekta ya viwanda nchini iwapo atapatiwa ridhaa ya kuwa rais.

 

9 years ago

BBCSwahili

WHO: Nyama iliyopitia viwandani husababisha saratani

WHO imesema ulaji wa nyama nyekundu na bidhaa za viwandani zilizotengenezwa kutoka kwa nyama husababisha saratani.

 

11 years ago

Mwananchi

Punguza kula vyakula vinavyosindikwa viwandani

Upungufu wa virutubisho au wingi wa virutubisho mwilini kama vile wanga, protini, mafuta, madini na vitamini unaweza kuathiri afya.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: Nemc simamieni mazingira ya viwandani

>Serikali imeliagiza Baraza la Taifa la Mazingira (Nemc) kutoa mwongozo wa  utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwa viwanda vyote nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Matumizi ya Magogo viwandani marufuku - Waziri Mahenge

 Wawekezaji wote Nchini wanatakiwa kuhakikisha wanaacha kutumia magogo katika uzalishaji badala yake watumie tekinolojia ya kisasa ili kuepuka mabadiliko ya tabia ya nchi na uchafuzi wa Mazingira yanayotokana na ukataji miti.  Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh.Dkt. Injinia Binilith Mahenge wakati alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza sabuni na mafuta ya kupikia (BIDCO) kilichopo mikocheni jijini Dar es Salaam.  Amekiagiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani