Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aahidi ajira viwandani

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuongeza ajira kwa asilimia 40 kupitia sekta ya viwanda nchini iwapo atapatiwa ridhaa ya kuwa rais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli aahidi kivuko Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema Serikali inatarajia kuongeza kivuko kipya kitakachogharimu sh. bilioni 3.7 kwaajili ya kuvusha watu Kigamboni. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam katika ziara ya...

 

9 years ago

Habarileo

Aahidi kufuata nyayo za Magufuli

MBUNGE wa Pangani, Jumaa Awesso (CCM), amepongeza utendaji kazi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli katika suala la ukusanyaji mapato na kuahidi kwamba atashirikiana na wadau wa wilaya yake kuendana na kasi hiyo kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato na kusimamia vizuri vilivyopo.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aahidi makubwa Moshi

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, jana aliuteka mji wa Moshi mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kuvuta umati mkubwa wa watu aliowakuna kwa hotuba yake iliyosheheni ahadi nzito, zikiwamo za kuondoa kero zinazowakabili na pia kuahidi kupaisha uchumi wa mkoa kwa ujumla.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi makubwa Tabora na Kigoma

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini yeye mwenyewe na kusema atakayechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo amwachie yeye kazi hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Dk. Magufuli aahidi kuwalinda wachimbaji wadogo

Mgombea Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amesema serikali atakayoiongoza baada ya kuingia madarakani itawalinda wachimbaji wadogo wadogo waweze kulitaidia taifa katika kuinua uchumi wa Nchi.

Dokta Magufuli ambaye amemaliza ziara yake ya Kampeni mkoa wa Simiyu na kuianza ziara yake mkoa wa Tabora katika wilaya ya Igunga,anasema wachimbaji wadogo wakiwekewa utaratibu mzuri wana nafasi kubwa ya kuinua pato la taifa.

 

Mara baada ya kuwasili wilayani...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aahidi kurejesha mashamba Kapunga

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi atakapochaguliwa kuwa rais, atarudisha sehemu ya mashamba ya Kapunga ya wilayani Mbarali katika mkoa wa Mbeya kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani