ZANU-PF kwafukuta
Makamu wa raisi nchini Zimbabwe,Joyce Mujuru anapaswa kujiuzuru nyadhifa zake katika serikali na chama tawala cha ZANU-PF.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Nigeria kwafukuta mgomo viwandani
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Nishati na Madini kwafukuta tena
KASHFA ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh. bilioni 200) katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayowakabili vigogo wa Serikali wakiwemo Waziri...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Kinana aipongeza Zanu-PF
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amepongeza Chama cha Zanu-PF cha Zimbabwe, kwa kusimama imara licha ya changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi hiyo, ikiwemo vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Bi Mugabe ateuliwa kuongoza ZANU-PF
10 years ago
StarTV04 Apr
Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru
Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.
Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .
Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Zimbabwe:ZANU-PF chamtimua Bi Mujuru
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Mke wa Mugabe apewa uongozi ZANU-PF
![Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Grace-Mugabe.jpg)
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe
HARARE, ZIMBABWE
MKE wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe, ameteuliwa kuwa kiongozi wa kitengo cha wanawake ndani ya chama tawala cha ZANU-PF.
Grace (49) atakabidhiwa rasmi wadhifa wa kuongoza kitengo hicho katika kongamano la kitaifa la chama hicho ambalo linatarajiwa kufanyika Desemba.
Kwa mujibu wa BBC, cheo hicho kitamruhusu kushiriki mikutano ya Kamati Kuu ya ZANU-PF ambayo kimsingi ndiyo yenye shinikizo kubwa la uendeshaji wa...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Makamu Rais Zimbabwe aondolewa ZANU-PF
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mugabe ateuliwa tena kuongoza Zanu-PF