Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Mugabe apewa uongozi ZANU-PF

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe

HARARE, ZIMBABWE

MKE wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe, ameteuliwa kuwa kiongozi wa kitengo cha wanawake ndani ya chama tawala cha ZANU-PF.

Grace (49) atakabidhiwa rasmi wadhifa wa kuongoza kitengo hicho katika kongamano la kitaifa la chama hicho ambalo linatarajiwa kufanyika Desemba.

Kwa mujibu wa BBC, cheo hicho kitamruhusu kushiriki mikutano ya Kamati Kuu ya ZANU-PF ambayo kimsingi ndiyo yenye shinikizo kubwa la uendeshaji wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Bi Mugabe ateuliwa kuongoza ZANU-PF

Bi Grace Mugabe ameteuliwa kuongoza kitengo cha wanawake katika ZANU-PF

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe ateuliwa tena kuongoza Zanu-PF

Rais Robert Mugabe ameteuliwa tena kuongoza chama tawala nchini Zimbabwe na mke wake Grace akapewa wadhifa wa juu katika chama

 

11 years ago

BBC

Grace Mugabe enters Zanu-PF politics

The wife of Zimbabwe's President Robert Mugabe enters politics, after being endorsed to become the head of the ruling party's women's league.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto apewa jina la mke wa Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua Mfumo wa Huduma za Afya za Masafa katika Kituo cha Afya cha Mwaya Wilaya ya Ulanga, ambako mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa saa chache baada ya uzinduzi huo, alipewa jina la Salma, mke wa Rais Kikwete.

 

11 years ago

Habarileo

Mke wa Rais Mugabe abanwa

MSHINDI wa tuzo ya uandishi nchini Zimbabwe Chenjerai Hove, amemtaka mke wa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Grace Mugabe, kurejesha Shahada yake ya Uzamivu (PhD).

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbunge ashtakiwa kumtusi mke wa Mugabe

Mbunge mmoja wa chama tawala nchini Zimbabwe anatarajiwa kufikishwa kortini kujibu mashtaka ya kumtusi mke wa Rais Robert Mugabe.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na...

 

11 years ago

Bongo5

PhD ya miezi miwili aliyopewa mke wa Mugabe yawakasirisha wanachuo

Chama cha wanachuo nchini Zimbabwe, Ijumaa hii kimeutaka uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe kujiuzulu baada ya kumpatia mke wa rais Robert Mugabe, PhD miezi miwili tu baada ya kuanza masomo. Huchukua zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa mwanafunzi wa kawaida ili kupata PhD. PhD hiyo ilitolewa kwa Grace Mugabe, 49 aliyekuwa mpiga chapa […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Moi na Mugabe: Sifa za uongozi zilizowachwa na kizazi cha Afrika kinachotoweka

Marais wa zamani wa Kenya na Zimbabwe walikuwa wakifanana kwa historia walioweka na tabia zao za uongozi , kulingana na Brian Hungwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani