Moi na Mugabe: Sifa za uongozi zilizowachwa na kizazi cha Afrika kinachotoweka
Marais wa zamani wa Kenya na Zimbabwe walikuwa wakifanana kwa historia walioweka na tabia zao za uongozi , kulingana na Brian Hungwe.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBC17 Feb
Mugabe and Moi: The legacy of a dying African generation
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-EyH8QpnIreM/XtNs5GRMMbI/AAAAAAABCAg/92juDaWmMqsPatyXfrCd-tb196FS5PAAQCNcBGAsYHQ/s72-c/who.jpg)
WHO: UONGOZI IMARA CHANZO CHA AFRIKA KUPATA MAAMBUKIZI MADOGO YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-EyH8QpnIreM/XtNs5GRMMbI/AAAAAAABCAg/92juDaWmMqsPatyXfrCd-tb196FS5PAAQCNcBGAsYHQ/s1600/who.jpg)
Afrika ina 1.5% ya visa vyote vya corona vilivyoripotiwa duniai kote, na ina 0.1% ya vifo vya corona duniani kote, kwa mujibu wa WHO.
Mkurugenzi wa WHO Ukanda wa Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti alitoa kauli hiyo alipozungumza na vyombo vya habari mwishoni mwa wiki, kuhusu hali ya maambukizi...
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Mke wa Mugabe apewa uongozi ZANU-PF
![Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Grace-Mugabe.jpg)
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe
HARARE, ZIMBABWE
MKE wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe, ameteuliwa kuwa kiongozi wa kitengo cha wanawake ndani ya chama tawala cha ZANU-PF.
Grace (49) atakabidhiwa rasmi wadhifa wa kuongoza kitengo hicho katika kongamano la kitaifa la chama hicho ambalo linatarajiwa kufanyika Desemba.
Kwa mujibu wa BBC, cheo hicho kitamruhusu kushiriki mikutano ya Kamati Kuu ya ZANU-PF ambayo kimsingi ndiyo yenye shinikizo kubwa la uendeshaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Ujana ni mapito, si sifa ya uongozi
SIKUBALIANI na wanasiasa vijana wanaoendekeza siasa za kutukuza ujana na kubeza “uzee” kama njia ya kujipatia uongozi. Sikubaliani nao wanaposimama majukwaani kuhamasisha vijana wenzao kuwa huu ni wakati wao kuchukua...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Polepole: Anayezuia mijadala amepoteza sifa za uongozi
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Wenye sifa wachangamkie nafasi za uongozi SimbaÂ
KLABU ya Simba ipo katika mchakato wa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, kuhitimisha kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Alhaji Ismail Aden Rage, aliyeingia madarakani Mei 9, 2010....
10 years ago
Habarileo13 Dec
Mdee ataka nafasi za uongozi kwa sifa sio rushwa ya ngono
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amewahimiza wasichana kuhakikisha wanapata nafasi za uongozi kwa sifa na si kwa kutoa rushwa ya ngono ili kulinda heshima na uadilifu wa wanawake katika utumishi wa umma.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Rais Mugabe ziarani Afrika Kusini
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Bongekile Msibi mwanamke wa Afrika Kusini alifungwa kizazi kwa lazima