Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye sifa wachangamkie nafasi za uongozi Simba 

KLABU ya Simba ipo katika mchakato wa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, kuhitimisha kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Alhaji Ismail Aden Rage, aliyeingia madarakani Mei 9, 2010....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mdee ataka nafasi za uongozi kwa sifa sio rushwa ya ngono

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amewahimiza wasichana kuhakikisha wanapata nafasi za uongozi kwa sifa na si kwa kutoa rushwa ya ngono ili kulinda heshima na uadilifu wa wanawake katika utumishi wa umma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujana ni mapito, si sifa ya uongozi

SIKUBALIANI na wanasiasa vijana wanaoendekeza siasa za kutukuza ujana na kubeza “uzee” kama njia ya kujipatia uongozi. Sikubaliani nao wanaposimama majukwaani kuhamasisha vijana wenzao kuwa huu ni wakati wao kuchukua...

 

11 years ago

Mwananchi

Polepole: Anayezuia mijadala amepoteza sifa za uongozi

Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole amesema makongamano na mijadala inayohusu Katiba mpya yataendelea kwa sababu ni ya lazima pia ni haki ya kikatiba.

 

9 years ago

Mwananchi

HESLB: Wenye sifa ya kukopeshwa wamepata wote

Siku tatu baada ya wanafunzi waliokosa mikopo ya kujiunga na elimu ya juu kujitokeza katika ofisi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wakishinikiza kushughulikiwa madai yao, uongozi wa Bodi hiyo umesema kundi la wanafunzi wote waliokuwa na sifa ya kupata mikopo wameshapata.     

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal: SUZA toeni wataalamu wenye sifa

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalMakamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali ameutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA), kuhakikisha chuo hicho kinatoa wataalamu wenye sifa na uwezo katika fani mbalimbali, ikiwemo za utafiti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wenye sifa za kuajiriwa wapo vijijini

ASILIMIA 80 ya vijana wenye sifa na uwezo wa kuajiriwa wapo vijijini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Moi na Mugabe: Sifa za uongozi zilizowachwa na kizazi cha Afrika kinachotoweka

Marais wa zamani wa Kenya na Zimbabwe walikuwa wakifanana kwa historia walioweka na tabia zao za uongozi , kulingana na Brian Hungwe.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wenye sifa ya kupiga kura Mkalama washauriwa kujiandikisha

DSC05816

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida,James John Mkwenga,akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha baraza la madiwani  kilichofanyika katika kijiji cha Nduguti.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Asma Seif na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Mkalama,Cusbert Mwinuka.

DSC05797

Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga, akizungumza mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama. Ele Lenga alitumia nafasi hiyo kuagiza...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake gombeeni nafasi za uongozi

Tanzania ina hazina ya wanawake wenye uwezo katika masuala ya uongozi na vipaji vya kuhamasisha maendeleo siyo kwa wanawake pekee bali jamii kwa jumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani